Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 354
Kuona watu wanaweka post zao hapa wanatafuta wenza wa maisha halafu wengine wanazifanyia mizaha. Walioweka kipengele cha love connect kwa ajili ya kutafuta wapenzi na friends; na kile cha chit chat cha kufanyia utani hawakuwa wajinga. Mnajijua na nadhani nyie ni watu wazima na kama nyie mnadhani huwezi pata mpenzi wa kweli jf basi huo ni mtazamo wenu bakini hvo na muwaachieni wenye kuamini kuwa watapata waendelee kuliko kuwakebeh na kukatisha tamaa! MNABOA KWELI JAMENI! Kha!