Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager

Chama cha siasa hujengwa majukwaani, sio mdomoni....mnaobeza ujenzi huu wa chama kwanini huwa mnatumia polisi kuvuruga mikutano ya UKAWA kama kweli haina impact? Acheni unafiki wa wenu wa KIKE.
 
mkuu ulitakaje mkuu? ina maana bado hujaona impact ya Lowassa katika UKAWA? you must be lunatic!
Impact ya Lowasa nimeiona katika kuiondoa Chadema kutoka kwenye falsafa kupinga ufisadi na kuifanya kuwa agent wa kutetea ufisadi.
 
Silent killer na mipango mathubuti namkubali sana huyu mzee akili kubwa hio.
 
Lowasa:Mtaweza hamtaweza ? Hiyo ndiyo nilioisikia jana akiongea kwenye mkutano.
 
Nmekudharau sana . sikutegemea kama huna akili kiasi hiki...

Kumbe humu huwa tunabishana na watu wa chekechea kabisa!
 
Aache kwanza tukaribie 2020; kwasasa inaonekana ni fujo kwa mwenzake anayejenga nchi lakini pia wananchi wanapaswa kufanya kazi hatimaye siasa zitaanza tukikaribia uchaguzi.
 
What a stupid idea. Of all the great coaches around why take Mourinho the calamity?
Mourinho will end up inflicting more pain in Man United.
 
Uzi huu mbona kama umevamiwa na siasa za maji taka, acheni ukuda rejea uzi unasemaje.
 
Tz bana tunapenda sana siasa japo hazitupendi lowasa hadi michezoni hii nyota kali sana sijui kaitoa wap kila mahali anachomoza had hapa


rudin ktk mada wazee wa politics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…