Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager

Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
njoo babu lowasa uwape pressure na wajue nn maaana ya uongozi bora na demokrasia....wanaongoza nchi kama bendi ya mziki vile mwenye bendi akifa na bendi inapotea kabisa
 
Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
Kumtumia Lowasa kujenga chama ni sahihi lakini si kwa kutembea nchi nzima.
Lowasa alikuwa CCM na kuna madhila wanayopata wananchi ambayo alishiriki katika kuyajenga through collective responsibility.
Si wazo zuri kumtumia kila mahali ila anatakiwa awe mwana mkakati na kazi ya kueneza Chama wapo kina Lema,Msigwa,Mdee na wengine wengi.
Kokote Lowasa atakapokwenda atawapa nafasi kitengo cha propaganda cha CCM kumshukia.
Tukumbuke wananchi wetu wanabadili msimamo kwa jambo dogo mno.
 
ALIPOKUWA CCM MLIKUWA MNAWAAMBIA WANANCHI KWAMBA AMELETA MAENDELEO SANA MONDULI. SASA SIJUI KAYAONDOA HAYO MAENDELEO BAADA YA KWENDA UPINZANI?
Ingekua tu nasema hvy basi tungrmpa ugombea urais Lakin kwa kuwa tulikwisha mpima kwamba ni mzigo tu asiye na dira ya maendeleo ndo maana tukamkata ndo akapokelewa na wenzie wenye mitazamo na upeo mdg kama wake

But mkuu jitahd fika monduli ukaone maajab
 
Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.

Hahah mmehamia 2020 baada ya kutoka 2000-2005-2010-2015 na sasa 2020 umesahau neno moja oktoba 2020 CCM out!
 
Ingekua tu nasema hvy basi tungrmpa ugombea urais Lakin kwa kuwa tulikwisha mpima kwamba ni mzigo tu asiye na dira ya maendeleo ndo maana tukamkata ndo akapokelewa na wenzie wenye mitazamo na upeo mdg kama wake

But mkuu jitahd fika monduli ukaone maajab
kwa hiyo kumbe hamjawahi kumsifu kwa lolote? acheni UNAFIKI wa KIKE mkuu.
 
article-3603778-34817A7300000578-210_964x390.jpg

3481BE5400000578-3603778-image-a-56_1463953570452.jpg

3481BEBC00000578-3603778-image-a-58_1463953600249.jpg

EXCLUSIVE BY MATT LAWTON: Jose Mourinho was paid a staggering £4million by Manchester United not to take a job elsewhere while they decided the future of Louis van Gaal. An agreement was reached midway through the season to give United the option of bringing him in if Louis van Gaal failed to meet their targets. Sportsmail can also reveal that Mourinho refused to accept a 'behavioural clause' in his five-year, £75m deal despite concerns among the United hierarchy over his eccentric touchline behaviour.
 
Haya ni matusi makubwa kwa wanachadema waliohangaika na kampeni za M4C tokea mara tu baada ya uchaguzi wa 2010. Na ni matusi makubwa kwa viongozi wa vyama waliohangaika kuunganisha vyama ili kuwe na nguvu ya umoja. Maana hizo jitihadi zote hazikuweza kuongeza kura, ila Lowasa aliyeingia mwezi mmoja kabla ya uchaguzi ndo ameongeza kura.
mkuu ulitakaje mkuu? ina maana bado hujaona impact ya Lowassa katika UKAWA? you must be lunatic!
 
Ng'ombe wa maziwa
Jamaa siku nyingi hawajanywa maziwa fresh ndo rizk yao tena imefika, tunamuombea asikwame ktk kutembelea nchi mzima watu wafaidike
 
Shida-Sukari_640_392.JPG
Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakiwa kwenye foleni ya kununua sukari katika duka la jumla lililopo kando ya Barabara ya Sokoine mjini Songea mwishoni mwa wiki. Bei ya sukari imepanda kutoka Sh 2,000 hadi kufikia Sh 5,500 kwa kilo mkoani humo kutokana na kuadimika kwa bidhaa hiyo. (Chanzo: Habari Leo).
 
Back
Top Bottom