habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Wewe mpuuzi, au umepiga konyagiAsijinyee tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpuuzi, au umepiga konyagiAsijinyee tu.
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Chanzo: Mwananchi
MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
njoo babu lowasa uwape pressure na wajue nn maaana ya uongozi bora na demokrasia....wanaongoza nchi kama bendi ya mziki vile mwenye bendi akifa na bendi inapotea kabisaHayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Chanzo: Mwananchi
MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
Kumtumia Lowasa kujenga chama ni sahihi lakini si kwa kutembea nchi nzima.Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Chanzo: Mwananchi
MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
Umelewa tayari?Sijui safari hii ataongeza dakika za kuzungumza?
Kwani huwa anazungumza dakika ngapi kwa wastani?Umelewa tayari?
Ingekua tu nasema hvy basi tungrmpa ugombea urais Lakin kwa kuwa tulikwisha mpima kwamba ni mzigo tu asiye na dira ya maendeleo ndo maana tukamkata ndo akapokelewa na wenzie wenye mitazamo na upeo mdg kama wakeALIPOKUWA CCM MLIKUWA MNAWAAMBIA WANANCHI KWAMBA AMELETA MAENDELEO SANA MONDULI. SASA SIJUI KAYAONDOA HAYO MAENDELEO BAADA YA KWENDA UPINZANI?
Hapana mkuu ameanzia yale maeneo mumeo anakofanyia biashara zake za gengeAmeanzia 'mto wa mbu'
Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Chanzo: Mwananchi
MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
kwa hiyo kumbe hamjawahi kumsifu kwa lolote? acheni UNAFIKI wa KIKE mkuu.Ingekua tu nasema hvy basi tungrmpa ugombea urais Lakin kwa kuwa tulikwisha mpima kwamba ni mzigo tu asiye na dira ya maendeleo ndo maana tukamkata ndo akapokelewa na wenzie wenye mitazamo na upeo mdg kama wake
But mkuu jitahd fika monduli ukaone maajab
Mungu awarehemuAsijinyee tu.
Ohooo, bado tuna uhaba wa Sukari, mnataka kusababisha uhaba wa PAMPAS tena?
mkuu ulitakaje mkuu? ina maana bado hujaona impact ya Lowassa katika UKAWA? you must be lunatic!Haya ni matusi makubwa kwa wanachadema waliohangaika na kampeni za M4C tokea mara tu baada ya uchaguzi wa 2010. Na ni matusi makubwa kwa viongozi wa vyama waliohangaika kuunganisha vyama ili kuwe na nguvu ya umoja. Maana hizo jitihadi zote hazikuweza kuongeza kura, ila Lowasa aliyeingia mwezi mmoja kabla ya uchaguzi ndo ameongeza kura.