Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager

Tz bana tunapenda sana siasa japo hazitupendi lowasa hadi michezoni hii nyota kali sana sijui kaitoa wap kila mahali anachomoza had hapa

rudin ktk mada wazee wa politics.
mkuu, hizi nyuzi zimeunganishwa na Moderator aliyeingia shift akiwa AMELEWA. pacha wa KITWANGA wapo kila mahali.
 
mkuu, huyu mzee ni KICHWA wewe acha tu.
Acha kabisa mkuu natamani anko magu waache itikadi amtumie huyu mzee katika mipango nchi. Huyu ndo anafit kwenye ujasusi wa kiuchumi na viwanda hii ni hazina sema serikali haijagundua inaendeshwa na pumzi ya ushikaji.
 
Khee[emoji45] [emoji15] [emoji15] mbona uzi haulandani na maudhui ya head line na uchangiaji. Moderator fanyeni mambo bwana mbona mmeunganisha uzi mbili ndani?
Au ndo stoper na mtu mbili ndani ya track moja teh teh.
 
uhodari wa mourhino kwenye SOKA ni sawa kabisa na uhodari wa Lowassa kwenye SIASA. ndio maana Moderator kaamua kuunganisha hz nyuzi. asante sana baba Moderator kwa kutambua mchango wa Lowassa kwenye siasa za Tanzania.

CC: Invisible, Paw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…