Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager

Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Chanzo: Mwananchi, ITV

MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.
 
Nmemtazama Jana ITV wallah Hanna kitu pale in pumba pumba pumba labda kama atafanyia monduli tu but huku kwet hatutak pumba
 
Bado yupo kwenye mioyo ya watu lisha ya utendaji ulio tukuka wa Rais magufuli. Ataweza, kama aliweza kipindi cha uchaguz na alikuwa hoi kiafya na sasa ameimarika ataweza.
Swali la kujiuliza ni je ataweza? Maana kusema ni jambo moja na kutenda ni jambo jingine
 
Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.

Acha kufananisha giza Na mchana.!
 
Nmemtazama Jana ITV wallah Hanna kitu pale in pumba pumba pumba labda kama atafanyia monduli tu but huku kwet hatutak pumba
Uko kwenu mnakunywa maji ya kilimanjaro tu? make inaonekana hamna matatizo kabisa ya kijamii....au nyie kwenu siasa ni uadui!
 
Hayawi hayawi, yamekuwa! Hatimaye Mh Edward Ngoyai Moringe Lowassa amepata fursa ya kutembea nchi nzima kuwashukuru wananchi waliompigia kura kwa kishindo na kupelekea UKAWA kuongeza idadi ya wabunge kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na chama chochote cha upinzani tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa mgombea nafasi ya urais kwa mwavuli wa UKAWA, atafanya mikutano nchi nzima kwa lengo la kukijenga chama na kuwashukuru wananchi waliompigia kura na watakaompigia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020.

Chanzo: Mwananchi

MAONI YANGU
Nampongeza baba Lowassa kwa juhudi zake za kukijenga chama na kufanya maandalizi ya uchaguzi ujao mapema. Wakati CCM wanatoana ngeo kugombania nafasi ya ukatibu mkuu wa chama, UKAWA wanajipanga kuichukua nchi 2020. Hizi mbinu za kisayansi ni muhimu sana na zitafanikisha ushindi wa kishindo kwa UKAWA mnamo mwaka 2020. Viva Lowassa, Viva UKAWA.

Ni matumaini yangu safari hii hakutakuwa tena na zile " dharula dharula " na badala yake atazunguka kikamilifu kabisa huku akiwa amejipanga pia kuweza kuzungumza kwa muda mrefu kwani sasa hana presha wala cha kupoteza. Namtakia ujenzi mwema wa Chama chake cha CHADEMA ili kizidi kuendelea kuwa Chama shiriki kila miaka mitano mitano ya uchaguzi.
 
Amini usiamini baada ya ziara ya lowasa,bunge litaanza kurushwa laivu na sukari itapatikana,wafanyakazi wataacha kutukanwa,pesa itaonekana mtaaani......njoo leigwanani njooo uwaonyeshe utawala bora....sukari elfu nane leigwanani usikae kimya..
Amshaamsha ianze sasa
 
Kwa tafakuri yangu binafsi,napata shida kuamini kuwa kwa mifumo yetu na katiba yetu ya sasa upinzani kuchukua nchi ni ndoto za mchana,kuingia kwenye uchaguzi chini ya tume hii ya uchaguzi,na sheria hizi zilizopo ambazo zinatoa fursa ya tume kumtangaza mshindi,(iwe ndiye mshindi au lah),tume hii hii ambayo kama ikionenekana upinzani unaelekea kuchukua dola WANAFUTA MCHAKATO MZIMA WA UCHAGUZI na kuanza upya,Sina imani kama upinzani wanaweza kuchukua dola.
Ushauri wangu,pamoja na kukijenga chama kwa nguvu zote,iende sambamba na kudai katiba mpya itakayojenga misingi imara ya taasisi hizi nyeti,(Tume huru kabisa ya uchaguzi,pamoja na kuvifanya vyombo vya dola kuwa free and neutral figures wakati wa uchaguzi) ili waweze kufanya kazi pasipo kuegemea upande wowote wa wagombea.
Lakini kama tukibaki katika mfumo HUU wa sasa,hata kama upinzani utapata asilimia 80,na CHICHIEM wakapata 20,bado CCM watatangazwa kuwa washindi,na hakuna kitakachotokea zaidi ya raia kulia lia tu,kitu ambacho kimsingi hakisaidii hata kidogo.
Good reference ni ZANZIBAR!!!
 
Safii sana kamanda wetu,tupo nyuma yako.CCM 2020 chaliii
 
Back
Top Bottom