Me nina furaha sana wkend hii mana naolewa kesho wkend hii ni nzuri kwangu nina furaha,amani,kwakuwa atlast mtu ninayempenda kutoka moyoni ndie atakuwa mume wangu for better for worse hureeeeeeeeeeeee
Ivi weekend inaanza leo na sio jana? Ukisoma btn line u know wara I mean! Wapi home boys wangu! Keizer, Asprin,Fidel, Teamo? Kanga na Bata wanakesi ya kujibu oceanic!