Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
mijimacho KODO KODO:A S shade:Hiyo kahawa itapoa kwa kudoa macho mpwa....mi niko Tabora mjini if u know what am saying
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mijimacho KODO KODO:A S shade:Hiyo kahawa itapoa kwa kudoa macho mpwa....mi niko Tabora mjini if u know what am saying
Didi I say that.... mamushka?:frusty:
I don wanna be a player no more!
Naaaaam!!mleu....koreka kapisa....nkiki?
Hureeei! mwisho wa mwenzi na wikienda....Nimeshatangaziwa nia kama kumi hivi nitapona kweli.....
Angalia angalizo la mtoa sredi: PLAY SAFE
Na Roya Roy kasema mplay na mipira ya Jabulani. Hofu ya kutopona yatoka wapi tena hapo?
Si jinsi hawa wanaotangaza sera zao wanavyokuja spidi...yaani kutopona nina maana ya konyagi nitazipiga sana na kesho ibada inanisubiri nikaiongoze saa moja asubuhi....
Utakua uwanja gani Asprin....Taifa?? Jangwani?? Mburahati??Ngoja niwahi nikajiandikishe kwenye daftari la KUDUMU la mpiga kura....
Hapa walionielewa ni Kaizer, Teamo, Roya Roy na Bigirita. The rest subirini taarifa Jumatatu.
Mburahati ndio swadakta. Usisahau ile rule namba 7 ya mchezo wetu. Safety and Security Must Be Guaranteed!Utakua uwanja gani Asprin....Taifa?? Jangwani?? Mburahati??
I don wanna be a player no more!
nipo kwa kisamo hapa tayari...ndovuu baridii na ngombe ya foil..........karibuuu
thax mamushka!
paco yupo?
street dog?preta?ton?babra?moa?
rai?otapio
Play what?
Funny day, nipo ofisini nabugia bumunda na mkombe wa chai.
Naikimbia lunch break taratiiiiibu.
Ngoja niwahi nikajiandikishe kwenye daftari la KUDUMU la mpiga kura....
Hapa walionielewa ni Kaizer, Teamo, Roya Roy na Bigirita. The rest subirini taarifa Jumatatu.