Its Friday Dears, Dearests and Super Dears!

Hureeee!
The Lady says play safe soccer.....tumia mipira ya jabulani ndo mizuri.....ukipiga shuti lazima kipa apotee maboya!!! :A S soccer:
 
Ngoja niwahi nikajiandikishe kwenye daftari la KUDUMU la mpiga kura....

Hapa walionielewa ni Kaizer, Teamo, Roya Roy na Bigirita. The rest subirini taarifa Jumatatu.
 
Hureeei! mwisho wa mwenzi na wikienda....Nimeshatangaziwa nia kama kumi hivi nitapona kweli.....
 
Angalia angalizo la mtoa sredi: PLAY SAFE

Na Roya Roy kasema mplay na mipira ya Jabulani. Hofu ya kutopona yatoka wapi tena hapo?
 
Si jinsi hawa wanaotangaza sera zao wanavyokuja spidi...yaani kutopona nina maana ya konyagi nitazipiga sana na kesho ibada inanisubiri nikaiongoze saa moja asubuhi....
 
Ngoja nikutafutie mhashamu askofu akufanyie maombi! Dah!
 
Yes its good friday, tuanajiandaa kwenda shamba kesho. Si mnajua wakulima wa kisarawe kwa ZEGELO
 
Ngoja niwahi nikajiandikishe kwenye daftari la KUDUMU la mpiga kura....

Hapa walionielewa ni Kaizer, Teamo, Roya Roy na Bigirita. The rest subirini taarifa Jumatatu.
Utakua uwanja gani Asprin....Taifa?? Jangwani?? Mburahati??
 
Mburahati ndio swadakta. Usisahau ile rule namba 7 ya mchezo wetu. Safety and Security Must Be Guaranteed!
 
Mmh!

Back
Top Bottom