๐๐ ni kwereChaliangu hapo chuga ni gani๐คฃ
Sahivi wana Mbingu dunianiHahaha na geo devie mkuu wa manabii
Hahahahahaaaaa ๐๐ ๐คฃ๐๐Safi kabisa bwashee, wewe vuta tu mabangi yako , sisi tuna waka ๐ฅ
Yele mzee ni smart sana , kile kichwa ๐Sahivi wana Mbingu duniani
Anajaza kijiji huyo ๐
Wakimaliza Ibada Njiro road haipitiki hiyo foleni yake
Yawezekana wallahSidhani kama wanaipenda. Ni vile wadada wa mjini wanataka kuonekana matawi flani๐
Laki 5 haijengi, vijana wanaoweza hivyo ni wapumbavu na wale wasioelewa chochote kuhusu maishaVijana wengi wana mawazo ya kimaskini, mtu anaanza kazi leo kesho anawaza kuzeeka na mafao, sisi enzi zetu ukifika miaka 55 ndio unakumbuka bei ya tofali, kujenga ujanani ni woga wa maisha.
๐๐๐ Na kama unaweza unamkemea kabisa ili hilo pepo limtokeKwanza tukiwa bar ulileta habari za tunamaliza pesa ,sijui kujenga, nakunasa kofi
Ulanzi vp?Kwenye kilabu cha kijijini kwetu hapa.Wanzuki nyingi na bandama choma.Come karibu!
Dah ila pombe tamu sana , hii kitu walitengeneza wakiwa uchi๐ค๐๐๐ Na kama unaweza unamkemea kabisa ili hilo pepo limtoke
Hizi nilikunywa magoti ya kakosa nguvu๐Ulanzi vp?View attachment 3585686
๐๐๐๐ Hii nayo kali sana, sijui hata hiyo idara waliitoa wapi aiseeDah ila pombe tamu sana , hii kitu walitengeneza wakiwa uchi๐ค
Zipo kama zile chubuku za kipindi kile๐kwaio ulitambaa kimtindo ๐คฃ
Kuna lile li Jack Daniel , yani ukiweka mezani linawaka kama gold๐๐๐๐๐ Hii nayo kali sana, sijui hata hiyo idara waliitoa wapi aisee
Utakuta ni moja ya zile innovations kubwa za kidunia zinazosemekana zililetwa na viumbe wa nje ya dunia. Sidhani kama binadamu wa kawaida anaweza kubuni kitu kizuri na kitamu kama pombe