Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujinga tu wa mapenzi.
LOLujinga tu wa mapenzi.
Mh.................Ni unafiki wa mapenzi,maneno ya kudanganya,watu wa hivyo kwa mpango wa kando balaa tupu
Eh.......................
Sio ujinga....rather artwork.....
Umeweza kuishi zaidi ya robo karne bila kumwona wala kujua kama ana-exist......halafu unashindwa kuishi bila yeye....damn!
LOLWengi wanapenda kuwashika wapenzi wao kukujifanya ni wadhaifu kwao. Ukweli ni kwamba wapenzi wenyewe ukubali hili bila kutafakari, hivyo sio vibaya kama litaendelea kuwa fimbo ya mapenzi mpaka pale watapo shituka.
MwanajamiiOne hebu jibu hili,true love haina maana uwe mtumwa wa hisia,kushindwa kuishi ni utumwa wa hisia pamoja na ujinga sio true love!Kwa hiyo mfano kwa bahati mbaya umepata ajali na ukafa , na yeye ataacha kuishi?! Aneyekwambia hivyo lazima anataka kukuibia tu!!