its happening, ballot or bullet, hawajifichi tena, muslims!

its happening, ballot or bullet, hawajifichi tena, muslims!

Ni makalio matupu, hata hivyo demokrasia ya hapa bongo imebakwa kwa kweli.
 
Muslim Brother hood moja kati ya makundi ya kigaidi yaliyofanikiwa kupenya kila sehemu duniani, movements zao hazina tofauti na za waroman kimya ila yenye kishindo... Ni wasomi, wana pesa, very calm na vitega uchumi dunia nzima.

Hawa ndo mama wa makundi yote ya kigaidi unayoyajua.
 
mwisho wao umewadia D.Trump anatayarisha mpango kudeclare muslim hood kama terrorist organizatiom, iko jikoni imeshawiva …

1763927709554.jpeg
 
Hizi nchi wamekaribishwa tu, waache hayo mambo ndugu zangu waislam
 
Waislamu hua wananifurahisha sana 😂 watasema mataifa ya Ulaya na Marekani ni makafiri, ila hao hao Waislamu kutwa kukimbilia huko huko Ulaya na Marekani kuishi
 
mwisho wao umewadia D.Trump anatayarisha mpango kudeclare muslim hood kama terrorist organizatiom, iko jikoni imeshawiva …

View attachment 3506529
Hawawezi kuwatoa hao kaka mana hawafanyi kazi kama makundi mengine ya kigaidi wala huwezi kuwaona front wapo kila sehemu marekani na wamepenyeza watu mpaka ikulu yao. Na hata hivyo amechelewa sanaaa nchi kam UAE alishaliona hili miaka mingi nyuma na kwao MBH walisha literm kama kundi la kigaidi.....
 
Back
Top Bottom