Muslim Brother hood moja kati ya makundi ya kigaidi yaliyofanikiwa kupenya kila sehemu duniani, movements zao hazina tofauti na za waroman kimya ila yenye kishindo... Ni wasomi, wana pesa, very calm na vitega uchumi dunia nzima.
Hawa ndo mama wa makundi yote ya kigaidi unayoyajua.
Hawawezi kuwatoa hao kaka mana hawafanyi kazi kama makundi mengine ya kigaidi wala huwezi kuwaona front wapo kila sehemu marekani na wamepenyeza watu mpaka ikulu yao. Na hata hivyo amechelewa sanaaa nchi kam UAE alishaliona hili miaka mingi nyuma na kwao MBH walisha literm kama kundi la kigaidi.....mwisho wao umewadia D.Trump anatayarisha mpango kudeclare muslim hood kama terrorist organizatiom, iko jikoni imeshawiva …
View attachment 3506529