Wapendwa wana JF,
Leo tarehe 13 May ni siku yangu ya kuzaliwa. Ninatimiza miaka kadhaa... Namshukuru M/Mungu kwa kunipa afya njema na pumzi.
Ni aje beste:biggrin1::biggrin1:
Thanx my dia... Ha ha ha... Ndo anyonya hapa... Alia mekojoa kojo aungudja mimi huyu mama anioni...
Mi menyewe Chimba chiogopi chimba mimi... Nkinyamaza atanunulia mimi atu ya Ben ten, eti?
Wapendwa wana JF,
Leo tarehe 13 May ni siku yangu ya kuzaliwa. Ninatimiza miaka kadhaa... Namshukuru M/Mungu kwa kunipa afya njema na pumzi.