mob
JF-Expert Member
- Dec 4, 2009
- 2,262
- 1,356
Wapendwa wana JF,
Leo tarehe 13 May ni siku yangu ya kuzaliwa. Ninatimiza miaka kadhaa... Namshukuru M/Mungu kwa kunipa afya njema na pumzi.
kwa kutimiza hiyo miaka.ok by the way ndo unaelekea ukubwani na siku za .......zinapungua na ukumbuke kusherehekea izo pia