BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Umeshamaliza Yale madeni mkuu?Vipi na kazi ulifanikiwa kupata?
We only live once niache kufurahia maisha kisa nadaiwa si nitakua punguaniUmeshamaliza Yale madeni mkuu?Vipi na kazi ulifanikiwa kupata?
Sio poa kufatiliana ππUmeshamaliza Yale madeni mkuu?Vipi na kazi ulifanikiwa kupata?
πππ Nimeuliza tu mkuu.Sio poa kufatiliana ππ
Kula Maisha mkuu, usisahau kuwanyonya ndogo.We only live once niache kufurahia maisha kisa nadaiwa si nitakua punguani
Mara nyingi vijana wanaomiliki IST ndio huvaa hivyo.Mkuu unapiga soksi na sendo![emoji23][emoji23][emoji23] Hii style ya vijana huwa inanichekesha..m
Kipensi
Soksi
Sendo[emoji14]
Happy birthday baba Morgan, mtoto wa mjini.
[emoji23][emoji23] nitolee ukafiri na deal na sehemu husika tuKula Maisha mkuu, usisahau kuwanyonya ndogo.
Shukran[emoji23][emoji23][emoji23] anyway.... Happy bday BabaMorgan [emoji512]
Thanks.Kipensi
Soksi
Sendo[emoji14]
Happy birthday baba Morgan, mtoto wa mjini.
Unahisi kwanini isiwezekane mkuu? Au unataka kunitafutia sababu tuπ ila kama utavaa soksi na sendo aah hapana thank you.Leo nataka nikutoe out, inawezekana?
Kwa nini mmeanza kuogopa vinjunga?[emoji3]Unahisi kwanini isiwezekane mkuu? Au unataka kunitafutia sababu tu[emoji3] ila kama utavaa soksi na sendo aah hapana thank you.