BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Leo Ratiba iko very simple.
Nikianza na code leo natupia kipensi fulani afu juu namaliza na form six rangi white Sasa chini nakupigia socks yenye rangi ya mjani chini kabisa sendo brand Nike aka kitiki
Mchana napiga ugali mzito na nyama choma afu maji jagi zima nikimaliza naenda kula dawa kwa wastani then narudi geto nalala wastani wa masaa mawili.
Saa moja kagiza kausoni naanza kujisogeza kiwanja kwa vile nipo pekee yangu bajeti yangu sio ya kishua sana wala kinyonge konyagi lazima ihusike na tu bia tuchache vya kusindikizia konyagi
From northern part of Tanzania.