It's My Life then I live by My Rules...

It's My Life then I live by My Rules...

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
231
Reaction score
331
brain.jpg

Hahaaaaa the brain is getting hold of the heart....
JE KUNA UMUHIMU WA KUPENDA NA KWANINI UNAPENDA
 
Kuhusu hiyo picha.
Hivi ni kwanini Moyo unahusishwa na "kupenda" na sio organ nyingine kama liver nk? Ni kweli moyo ndio unapenda?
Kuna sehemu nilipitia juu juu wakasema Wanafalsafa wa zamani wa kigiriki waliamini kila kitu kinakua controlled na moyo waliamini hata kufikiri ni kazi ya moyo, kupenda n.k. kabla tafiti nyingi hazijaendelea na kuja kujua baadae brain ndio inacontrol mambo yote.

Ila kisayansi structure ya heart hamna sehemu yoyote inayohusishwa na mambo ya kupenda
images%20(1).jpg
 
View attachment 1778475

Umeelezea vizuri juu lakini umeshindwa kumalizia vizuri, simple logical reasoning hivi ukimpenda mtu na akakuumiza kwa kukusaliti au vingine tu je ni kipi kinateseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu hiyo picha.
Hivi ni kwanini Moyo unahusishwa na "kupenda" na sio organ nyingine kama liver nk? Ni kweli moyo ndio unapenda?
NA NUKUU thread ya broda FRANCIS DA DON
Binafsi nashangaa moyo kuhusishwa na mapenzi, hivi inamaana moyo wangu ukatolewa na badala yake nikafungiwa moyo plastic unaotumia umeme nitashindwa kupenda? Uwendawazimu kabisa!

Kuna sehemu nilipitia juu juu wakasema Wanafalsafa wa zamani wa kigiriki waliamini kila kitu kinakua controlled na moyo waliamini hata kufikiri ni kazi ya moyo, kupenda n.k. kabla tafiti nyingi hazijaendelea na kuja kujua baadae brain ndio inacontrol mambo yote.

Ila kisayansi structure ya heart hamna sehemu yoyote inayohusishwa na mambo ya kupenda
View attachment 1778475
Thank you.
Sijui kwanini hii ❤ inahusishwa na moyo wakati hata haijafanana na huo moyo.
 
NA NUKUU thread ya broda FRANCIS DA DON
Binafsi nashangaa moyo kuhusishwa na mapenzi, hivi inamaana moyo wangu ukatolewa na badala yake nikafungiwa moyo plastic unaotumia umeme nitashindwa kupenda? Uwendawazimu kabisa!

Thank you, nitazipitia hizi.
 
Umeelezea vizuri juu lakini umeshindwa kumalizia vizuri, simple logical reasoning hivi ukimpenda mtu na akakuumiza kwa kukusaliti au vingine tu je ni kipi kinateseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni vizuri twende na scientific evidences tusiseme tu logical reasoning. Unaweza ukafanya logical reasoning ila je ukweli ndio huo? Au ukweli wa kisayansi unasemaje?

Watasha huko duniani wanasema The heart has nothing to do with love. The heart is just a strong muscle that functions to pump blood all over the body. ... Love is perceived by the intermediate brain. When we see the beloved, the intermediate brain releases chemicals that causes the heart to beat faster and stronger.
 
Iceberg9 binafsi maumivu nayapata tumboni....sasa sijui ni kawaida au ndio nishakuwa [emoji89]...[emoji854][emoji6][emoji846]

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kah yani Rowin wewe shikamoo, lakini tumbo linakushika ila ni la muda mchache tu, nahisi moyo utakua unaumia kila siku mpaka pale utakapo msahau kipenzi aliekutenda [emoji38][emoji38], hilo tumbo ni reaction tu baads ya kupokea taarifa zile hofu na hatari wakati zikichakachuliwa ndiyo zinaleta reactions sehemu zingine ndiyo kushushu mtetemo tumboni mwako [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa. Maana nakuwa na mawazo .
Sihisi chochote kwenye moyo zaidi nitapata stomach cramps.
Hizo ni reactions tu Paula Paul jamani, unajua maumivu ya moyo huwezi linganisha na maumivu ya other organs punde linapokuja swala la kutendwa kwa mtu aliekupenda na ukampenda ndiyo maana wengi hujikuta wanapata hadi magonjwa ya moyo, pia kumbuka moyo ndiyo ingine ya mwili wa binadamu kiutendaji na kila kitu, unapopatwa na tukio la kuvunjwa moyo then heart suffer alot [emoji174]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchoyo si mzuri...tugawiane hiyo tamu...[emoji4][emoji4]asante ila sina maumivu kwa sasa...[emoji6][emoji6]
Nikigawa hizo tamu tu jua nami naumwa moyo we si unaumwagwa tumbo..🤣
 
Back
Top Bottom