ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Mapenzi ni ma hormone tu.... moyo mnauonea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I disagree [emoji107] bro, watasha but why tunaji understatement yani mpaka watasha waseme[emoji23][emoji23], sisi pia tunaweza mzee baba kuja na hoja za kujenga za kiutafiti [emoji38][emoji38]Mkuu ni vizuri twende na scientific evidences tusiseme tu logical reasoning. Unaweza ukafanya logical reasoning ila je ukweli ndio huo? Au ukweli wa kisayansi unasemaje?
Watasha huko duniani wanasema The heart has nothing to do with love. The heart is just a strong muscle that functions to pump blood all over the body. ... Love is perceived by the intermediate brain. When we see the beloved, the intermediate brain releases chemicals that causes the heart to beat faster and stronger.
Nitajaribu kuchunguza ikitokea.[emoji1692][emoji1692] Haitatokea tena....maana sio maumivu mazuri hata...[emoji6][emoji854][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kah yani Rowin wewe shikamoo, lakini tumbo linakushika ila ni la muda mchache tu, nahisi moyo utakua unaumia kila siku mpaka pale utakapo msahau kipenzi aliekutenda [emoji38][emoji38], hilo tumbo ni reaction tu baads ya kupokea taarifa zile hofu na hatari wakati zikichakachuliwa ndiyo zinaleta reactions sehemu zingine ndiyo kushushu mtetemo tumboni mwako [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imetokea lini hiyo [emoji38][emoji38][emoji38] so jimbo lipo wazi eh, ila umepotea au ndiyo ulikua unaugulia maumivu ya tumboNitajaribu kuchunguza ikitokea.[emoji1692][emoji1692] Haitatokea tena....maana sio maumivu mazuri hata...[emoji6][emoji854]
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Nikigawa hizo tamu tu jua nami naumwa moyo we si unaumwagwa tumbo..[emoji1787]
[emoji2364][emoji2364][emoji2364][emoji2094][emoji2094][emoji2094]...,.[emoji854][emoji6][emoji846]Imetokea lini hiyo [emoji38][emoji38][emoji38] so jimbo lipo wazi eh, ila umepotea au ndiyo ulikua unaugulia maumivu ya tumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote vinateseka[emoji23][emoji23][emoji23] akiri ina accept then inaruhusu hayo maumivu kww moyo..ila kuumizwa kww moyo inadepnd na vyenye akiri yako imesimama imara kiasi gan iwapo inapokea jambo la kuumizaUmeelezea vizuri juu lakini umeshindwa kumalizia vizuri, simple logical reasoning hivi ukimpenda mtu na akakuumiza kwa kukusaliti au vingine tu je ni kipi kinateseka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote vinateseka[emoji23][emoji23][emoji23] akiri ina accept then inaruhusu hayo maumivu kww moyo..ila kuumizwa kww moyo inadepnd na vyenye akiri yako imesimama imara kiasi gan iwapo inapokea jambo la kuumiza
Ikiwa akiri yako niyakuashumu basi moja kwa moja moyo ndo unao teseka ila yote kwa yote ubongo ndo ufunguo wa kila kitu....akiri uamin nanmoyo upokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1778524
[emoji2364][emoji2364][emoji2364][emoji2094][emoji2094][emoji2094]...,.[emoji854][emoji6][emoji846]
Ndo maan nikasema ukiwa na akiri inayo fikilia mabaya tu anytime uwezi kutusua kwa moyo lazima uutese moyo wako ndo maan nikasema akiri uamin na moyo upokea kile akiri yako imeaminiAkili haijawahi kushinda moyo ni nadra sana nakuambia ukweli, tafiti zinaonyesha watu wengi walio commit suicide kwasababu ya Mapenzi na kuacha ujumbe wa mapenzi idada ni kubwa sana, wewe unafikiri kwanini asingetumia akili kuto kujidhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ohh aisehh hizi mambo ni hatariNdo maan nikasema ukiwa na akiri inayo fikilia mabaya tu anytime uwezi kutusua kwa moyo lazima uutese moyo wako ndo maan nikasema akiri uamin na moyo upokea kile akiri yako imeamini
Nikitolea mfano , umempgia mkeo au mpenzio simu kama mara tano haja pokea kwa muda muafaka ukute sio kawaida yake ukiwa na akiri inayo wazia mabaya tu lazima uwaze hataki kupokea makusudi, Yuko na mtu na mengine mengi kwa hali hyo kwa kuwa yayr Usha waza hvo moja kwa moja moyo unapokea kile ulicho kiamin tyr unaanza kuweweseka
Ila ikiwa akiri yako ina ile hali ya kuwazia mazuri badala ya kuwaza anakuchet uwaze to mke wangu yuko mbali na simu maybe yuko busy akiwa free atanitafuta happy uwezi kuupa moyo hzo hekaheka za kuweweseka
Sijui kuhusu sayans ila natumia uzoefu tu maan Ni maisha tunayo yaish kila siku
Ni noma ndo maan tunashauriwa sana kuomba, usiombe mungu akupe moyo wa kupenda tu omba akupe na akiri ya kufikili kbla..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ohh aisehh hizi mambo ni hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kujua hayo maunivu ya moyo yanayotokana na heartbreak yanakuwa yanaumaje.Hizo ni reactions tu Paula Paul jamani, unajua maumivu ya moyo huwezi linganisha na maumivu ya other organs punde linapokuja swala la kutendwa kwa mtu aliekupenda na ukampenda ndiyo maana wengi hujikuta wanapata hadi magonjwa ya moyo, pia kumbuka moyo ndiyo ingine ya mwili wa binadamu kiutendaji na kila kitu, unapopatwa na tukio la kuvunjwa moyo then heart suffer alot [emoji174]
Sent using Jamii Forums mobile app