It's My Life then I live by My Rules...

I disagree [emoji107] bro, watasha but why tunaji understatement yani mpaka watasha waseme[emoji23][emoji23], sisi pia tunaweza mzee baba kuja na hoja za kujenga za kiutafiti [emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajaribu kuchunguza ikitokea.[emoji1692][emoji1692] Haitatokea tena....maana sio maumivu mazuri hata...[emoji6][emoji854]
 
Umeelezea vizuri juu lakini umeshindwa kumalizia vizuri, simple logical reasoning hivi ukimpenda mtu na akakuumiza kwa kukusaliti au vingine tu je ni kipi kinateseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote vinateseka[emoji23][emoji23][emoji23] akiri ina accept then inaruhusu hayo maumivu kww moyo..ila kuumizwa kww moyo inadepnd na vyenye akiri yako imesimama imara kiasi gan iwapo inapokea jambo la kuumiza

Ikiwa akiri yako niyakuashumu basi moja kwa moja moyo ndo unao teseka ila yote kwa yote ubongo ndo ufunguo wa kila kitu....akiri uamin nanmoyo upokea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 

Akili haijawahi kushinda moyo ni nadra sana nakuambia ukweli, tafiti zinaonyesha watu wengi walio commit suicide kwasababu ya Mapenzi na kuacha ujumbe wa mapenzi idadi ni kubwa sana, wewe unafikiri kwanini asingetumia akili kuto kujidhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maan nikasema ukiwa na akiri inayo fikilia mabaya tu anytime uwezi kutusua kwa moyo lazima uutese moyo wako ndo maan nikasema akiri uamin na moyo upokea kile akiri yako imeamini

Nikitolea mfano , umempgia mkeo au mpenzio simu kama mara tano haja pokea kwa muda muafaka ukute sio kawaida yake ukiwa na akiri inayo wazia mabaya tu lazima uwaze hataki kupokea makusudi, Yuko na mtu na mengine mengi kwa hali hyo kwa kuwa yayr Usha waza hvo moja kwa moja moyo unapokea kile ulicho kiamin tyr unaanza kuweweseka

Ila ikiwa akiri yako ina ile hali ya kuwazia mazuri badala ya kuwaza anakuchet uwaze to mke wangu yuko mbali na simu maybe yuko busy akiwa free atanitafuta happy uwezi kuupa moyo hzo hekaheka za kuweweseka

Sijui kuhusu sayans ila natumia uzoefu tu maan Ni maisha tunayo yaish kila siku
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ohh aisehh hizi mambo ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ohh aisehh hizi mambo ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni noma ndo maan tunashauriwa sana kuomba, usiombe mungu akupe moyo wa kupenda tu omba akupe na akiri ya kufikili kbla..

Ukiwa na akiri ya kufikili utakuwa na busara sana ata kwenye kufanya maamuzi yako...
 
Heart has nothin to do with Love, love comes from the brain and there it can manifest itself in the heart. In fact Moyo ni limsuli ambalo kazi yake kubwa ni kusukuma damu sehem.mbalimbali za mwili nakumpa mtu Uhai..na kwakua Uhai ni maisha na Maisha ni Upendo, watu tukaamini Moyo ndio ulobeba upendo.

What happens ? Mpenzi wako unapokua naye kwa aman na uzuri wakila aina yake ,ubongo huzalisha homoni Dopamin, Serotonn, oxyto, n.k nakufanya mwili kwa ujumla wake kua relaxed , safe, calm ,happ n.k


Sasa itokee mtu wako kakufanyia unyama ile tunaita '"Kimeumana " .. Hizi homoni zinakua chini ,badala yake Homoni kama cortisol ,adrenaline zinakua juuuu sana, Na kama zitapersist kwa muda mrefu mtu huanza kuhisi mapigo yamoyo kudunda kwa kasi, kuchoka, kuchanganyikiwa, tumbo kuuma, wengine mpaka wanaharishaaa, wengine ni vijampo kwa kwenda mbelee, wengine wanakosa chooo , matatizo ya usingizi, kukoswa hamu ya tendo n.k .




Kwa ufupi.. MOYO NI MTUMWA WA UBONGO..UBONGO NDO BABA LAO.
 
Natamani kujua hayo maunivu ya moyo yanayotokana na heartbreak yanakuwa yanaumaje.
 
Ngoja nichangie kidogo kuhusu MOYO,nimeona wengi wameandika kuhusu moyo,ila sijui kama wamejiuliza maswali haya.

1. Akili makao yake makuu ni wapi ?
2. Maumivu ni nini ?

Wengi katika watu walio pita na wa sasa wamekuwa wakijiuliza kuhusu akili na moyo na kuishi na kauli hizi pindi wafikwapo na huzuni au majuto. Utawasikia wakisema :

1. Moyo unauma sana kwa kusalitiwa na fulani. au
2. Nina huzuni moyoni

Na mfano wa kauli kama hizo. Ukweli kuhusu moyo ni kuwa,wenyewe ndiyo makao makuu ya AKILI japo ubongo una uhusiano mkubwa sana na AKILI. Husemwa ubongo hutafsiri jambo baada ya kunaswa na milango ya fahamu,kisha moyo huyaweka mambo hayo katika mpangilio na kuyaratibu. Mfano unapo ona mtu kwa mbali,kujua kama amesimama au amekaa kazi hii inafanywa na ubongo lakini moyo unaratibu kama yule ni nani,mnene au mfupi na mfano wa hayo.

Maumivu yamegawanyika sehemu kuu mbili :
1. Maumivu ya kimaana,hapa ndipo yanapo ingia maumivu ya moyo baada ya kutendwa,huzuni na mfano wake.

2. Maumivu ya kihisia kama vile mtu kaumia kwa kujikata,au mfano wake.

Nakomea hapa kwa uchache.

Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…