It's now very clear that M23 in Eastern DRC is Rwandan Army Fighting for Tutsi purported Rights

Rwanda hawaiwez tanzania hata kidogo
Huwezi SEMA ivyo mpaka uwe na data na information za uhakika dunia ya Sasa Ni ya science and technology..

Unaweza ukawa na jeshi kubwa na lika be humiliated in battle field

Mkuu hii sio mwaka 1978/79 KAGERA WAR

War technology ime advance Sanaa kwenye Vita hakuna NYEGERA NYEGERA

Utaishanga unaanzisha Vita ambayo kuimaliza ita takes years na hasara zitakazo dumu miongo mingi

NB;
VITA SIO KAMA KULETEANA USHABIKI WA USIMBA NA UYANGA
 
Tz sio DRC mkuu.
Tz mipakani iko vema sana.
 
Kwa zana za kivita Rwanda hawezi izidi Tanzania kwa zana za vita.
Kama unabisha tuanze fananisha sasa hivi.
 
Ishu ya, Congo na M23, ni, ndogo sana,
Mfano kuna maasai Tanzania, na Kenya, ikitokea Kenya ikaanzisha Vita na maasai wa, Kenya, ikaanza, ikawaua, wengine wakakimbilia TZ, kwa, wenzao, tutakaa, kimya? Ikitokea wa Kaunda kikundi cha waasi kupigana haki zao Kenya, TZ itakaa kimya, bila kuwasaidia, M23, Wanyamurenge ni wa Congo wenye asili ya Kitusi,huwezi kuwafukuza Congo, kama ambavyo huwezi kuwafukuza Wa Masai wa, Kenya, waje TZ kwa wenzao, Kenya ina Wa Masai wake, na TZ ina Wa Masai wake.
Kingine, tuambiane ukweli, Rwanda, haina, economic wala, military muscles ya kuendesha Vita Congo bila kupewa msaada, haka ka, nchi kanatumika tu, UK, imeilipa Rwanda, pesa, kibao, ili, ikubali, kuwahifadhi, wakimbizi wanaovamia ulaya, kupitia Mediterranean Sea,
Congo pale kuna madini, ili, yachimbwe kwa bei nafuu, ni, kuhakikisha Vita haiishi, madini, yanayotengeneza cm asilimia 80,yanatoka Congo!
Ili Amani ipatikane, lqzima, Vita ichapwe kweli kweli, tuige ushupavu wa Hamas dhidi ya Israel, au, Taliban dhidi yq, USA, piga kweli kweli, damu, imwagike,
 
Nimeshangaa kweli eti hujaweka hiyo interview. Umbea tu huu.
 
If that is the case then Rwanda is a heroe like Israel.

How can Rwanda alone defeat the whole of DRC, UN commission forces, The East J
African Joint Forces and now the SADEC counterparts?
Its not Rwanda they are fighting, its France and US that DRC up against, Rwanda’s M23 are just puppets.

Tha same with Israel, Palestinians are actually fighting the US.
 
Mimi nashangaa Management ya Jf kuanzisha forum ya lugha ya kinyarwanda hapa, hawajui madhara yake ya badaye loh.
Ipo kimkakati haujiulizi kwanini Sasa? Na kwasasa kipindi ambacho ID ya M23 inawekwa wazi bila kificho haujajua nini nyuma ya pazia? Unafahamu nini kuhusu Desert Mission?
P
J
K
L
Uncoded Code Stay Tune yetu macho.
 
Tz sio DRC mkuu.
Tz mipakani iko vema sana.
Nakubaliana nawe, lakini tukiruhusu mbegu ya ubaguzi kuota itazalisha uasi na kujitenga...tukifika hatua hiyo mipaka yetu haitakuwa salama tena.
 
Licha ya kuwa Tanzania ni nchi yenye ujinga mwingi kutokana na siasa za majitaka lakini nakwambia Rwanda hawana huo ubavu mkuu. Nasisitiza tena hawana huo ubavu na hawatakuwa na huo ubavu wakutuletea huo ujinga wanoufanya Congo.
 
Nakubaliana nawe, lakini tukiruhusu mbegu ya ubaguzi kuota itazalisha uasi na kujitenga...tukifika hatua hiyo mipaka yetu haitakuwa salama tena.
Kwa Tanzania ni taifa lilo na ukarimu.
Pia Tanzania ni nchi ya kushikamana,ukitaka kuteteresha amani raia wenyewe hawakuachi/hatukuachi salama.
 
Majeshi yaliyopigana mwaka 78 huwezi kulinganisha na wa Sasa, wengi walipata mafunzo nje ya nchi, walikuwa active wakipigana vita nyingi kusaidia kuzikomboa toka ukoloni lakini wa Sasa kupata kazi tu mpaka connection, Wana vitambi kazi kubwa wanayoweza ni kugombea wanawake bar.
 
Licha ya kuwa Tanzania ni nchi yenye ujinga mwingi kutokana na siasa za majitaka lakini nakwambia Rwanda hawana huo ubavu mkuu. Nasisitiza tena hawana huo ubavu na hawatakuwa na huo ubavu wakutuletea huo ujinga wanoufanya Congo.
Na iwe ivyo mkuu🙏 ,
mkuu wa majeshi ya TZ alisema Kuna raia wakigeni Wamepewa vyeo kwenye vyombo vya kimaamuzi Ni kina Nani hao??

How deep they're?? Ni Nani Alie m support JOSEPH KONY for years He? Ni Nani Ali nyuma ya M23 ?! tupunguze USHABIKI WA USIMBA NA UYANGA

Mimi naona source Ni KAGAME huyu huyu tulie mfunda MONDULI na MUSEVENI Hawa ndio tuwa WIPE for any means through SECRET BALLOTS (DEMOCRACY) au Tuwatoe kwa nguvu na kuweka watu NEUTRAL
 
Acha kujifariji na kuchukulia Poa. Rwanda inapigwa na Kambi moja ya Kigoma, ikizidiwa kambi ya Tabora ikienda tutabeba mpaka na Malaya wote wa Rwanda tuwalete Kimboka kutoa huduma bure. Nawaaambieni mkae kwa kutulia nyie Wanyarwanda, Wajuba huko kambini wana hamu na nyieeeeee!
Yaaani msijiroge hata sekunde moja kutia mguu wa Kumjaribu Mtanzania, mtapigwa mpaka mchakae na dada zenu wote tunawapeleka Mafia ka wakimbizi!
 
for you information this fact is well known to us,and that is why when nkurunzinza was overthrown,we reinstated him to power by force.as for our army is well eqquiped
 
Vitu vingine vinachekesha ujue MTU KASHIBA UPORO WA KWA SHEMEJI YAKE ANAKUJA HUMU KUJIMWAMBAFAI...

KAMA UNAZANIA NI RAHISI IVYO KWANINI SERIKALI YA TZ HALIJAPELEKA IYO KAMBI YA KIGOMA (JESHI) IKAWAMALIZE WAASI WA M23??

Unakuta mtu hajawai kushika hata gobole achilia mbali shortgun hajui hata A,B,C za VITA achilia mbali bunduki ie.
Hajui hata kuweka risasi chemba Wala kuweka usalama on😊😊😊

Vita sio Kama kuichakata mbususu/papuchi ya demu wako
 
Mkuu DRC kulinda amani kunaenda kwa taratibu na kwa hatua.
JWTZ haijiamulii tu kushambulia itakavyo.
Ila Mozambique JWTZ ilipewa mamlaka ya kuamua mashambulizi kuanzia mpakani na Msumbiji mpaka Cabo del gado walikiona cha mtema kuni wale magaidi.
Kwa mimi sijaona taifa la kuliteteresha Tanzania kiusalama.
Hasa hasa hiyo Rwanda.
Ila muda utaongea tusubiri tuone.
 
Rwanda yaeleza wasiwasi wake kufuatia Marekani kuwa na utata kuhusu watu waliouawa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameeleza wasiwasi wake kutokana na Marekani kuwa na utata kuhusu watu waliouawa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.
Kauli hiyo ya rais Kagame imekuja baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken kutuma ujumbe katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda kupitia mtandao wa kijamii wa X, akisema “wanasikitishwa na vifo vya Watutsi, Wahutu, Watwaa na wengine waliopoteza maisha katika siku 100 za vurugu kubwa”.
Akizungumza katika mkutano na wanahabari jijini Kigali hapo jana, rais Kagame amesisitiza kuwa, suala hilo lilijadiliwa na rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton, ambaye aliongoza ujumbe wa Marekani katika kumbukumbu ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda iliyofanyika jumapili iliyopita mjini Kigali.
Akizungumza wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu hiyo, Rais Kagame amesema Wanyarwanda hawataelewa ni kwa nini baadhi ya nchi zinaendelea kuwa na utata kuhusu nani alilengwa katika mauaji hayo ya kimbari, na kusema kufanya hivyo ni aina ya kukataa kile kilichotokea, na huo pia ni uhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…