Ishu ya, Congo na M23, ni, ndogo sana,
Mfano kuna maasai Tanzania, na Kenya, ikitokea Kenya ikaanzisha Vita na maasai wa, Kenya, ikaanza, ikawaua, wengine wakakimbilia TZ, kwa, wenzao, tutakaa, kimya? Ikitokea wa Kaunda kikundi cha waasi kupigana haki zao Kenya, TZ itakaa kimya, bila kuwasaidia, M23, Wanyamurenge ni wa Congo wenye asili ya Kitusi,huwezi kuwafukuza Congo, kama ambavyo huwezi kuwafukuza Wa Masai wa, Kenya, waje TZ kwa wenzao, Kenya ina Wa Masai wake, na TZ ina Wa Masai wake.
Kingine, tuambiane ukweli, Rwanda, haina, economic wala, military muscles ya kuendesha Vita Congo bila kupewa msaada, haka ka, nchi kanatumika tu, UK, imeilipa Rwanda, pesa, kibao, ili, ikubali, kuwahifadhi, wakimbizi wanaovamia ulaya, kupitia Mediterranean Sea,
Congo pale kuna madini, ili, yachimbwe kwa bei nafuu, ni, kuhakikisha Vita haiishi, madini, yanayotengeneza cm asilimia 80,yanatoka Congo!
Ili Amani ipatikane, lqzima, Vita ichapwe kweli kweli, tuige ushupavu wa Hamas dhidi ya Israel, au, Taliban dhidi yq, USA, piga kweli kweli, damu, imwagike,