It's now very clear that M23 in Eastern DRC is Rwandan Army Fighting for Tutsi purported Rights

Kwa nini wanakomaa wahutu hawakuuawa au hawakulengwa?
 
Mwenye masikio naasikie,na mwenye antenna naazitege vizuri
 
Banyamulenge sio wacongo,ni wakimbizi wa kinyarwanda waliokimbilia congo miaka iliopita,ugumu wa vita east congo unafanywa na baadhi ya wanajeshi wa congo wasio wazalendo na nchi yao,wananunulika kirahisi na pk na kuuza ramani ya vita
 
Ipo kimkakati haujiulizi kwanini Sasa? Na kwasasa kipindi ambacho ID ya M23 inawekwa wazi bila kificho haujajua nini nyuma ya pazia? Unafahamu nini kuhusu Desert Mission?
P
J
K
L
Uncoded Code Stay Tune yetu macho.
Paul, Kikwete, Kabila, Lowassa
 
Ipo kimkakati haujiulizi kwanini Sasa? Na kwasasa kipindi ambacho ID ya M23 inawekwa wazi bila kificho haujajua nini nyuma ya pazia? Unafahamu nini kuhusu Desert Mission?
P
J
K
L
Uncoded Code Stay Tune yetu macho.
Kwamba anayetumia ID 23 sio Makenga?
 
Tuko tayari kitambo sanaa
 
Huenda yupo, ila wangekua na simamo ule ule wa lugha mbili kiingereza na kiswahili Wanyarwanda walioko Tz wanajua kiswshili na kiingereza.
Ni rahisi kumuelewa mtu kwa usahihi kama ataachwa adumishe utamaduni wake.
 
Kwanini iwepo? Wakati nasisi tuna lugha zetu hazijawekwa na haziruhusiwi.
Hahahahaha kwanza nimeiona hiyo forum..iko poa sana..ishu kwann iwepo au isiwepo waulizwe Mods..ila mbn hata Max si wa Kagera yule na Kagera iko karibu na huko huko ..
 
Kwani sisi wengine hatuna utamaduni, unajua watu wanao jua kisukuma, kikuyu kiganda/kihaya ni wengi kuliko wanyarwanda wote nje na ndani mbona kisukuma au kihaya hazina forum zake?
Kwasababu sio lugha ya mazungumzo rasmi ya kiserikali.
 
Kwasababu sio lugha ya mazungumzo rasmi ya kiserikali.
Sawa sawa

Nadhani hofu kuu , je kuna Mods wa Kinywarwanda kwa ajiri ya content ya hiyo forum , jibu ni ndio , je ana acces ya kiasi gani katika JF system mie sina jibu ..wanazengo wana hofu asije kukaribishwa jikoni akaona vinavyopikwa JF
 
kagame is a devil in its true color
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…