Its Official: Polygamy is the law of the Land.

Its Official: Polygamy is the law of the Land.

Nadhani kanisa la kenya alitakaa kimya katika ibada ya jumapili hii kuwakumbusha waumini wao ndoa ya mkristo ni moja tu.Ila asije ruhusu na ushoga tu.
hiyo andiko huijui. ntume Paulo alikuwa akiandika akisema atakaye kuwa bishop
 
HAPO KENYA
RAIS UHURU KENYATA LEO AMETIA SAINI, SHERIA YA KURUHUSU WANAUME KUOA MWANAMKE ZAIDI YA MMOJA, NA ANARUHUSIWA KUFANYA HIVYO HATA BILA YA KUMSHIRIKISHA MKEWAKE, NAONA SASA HAPO VIDUME VYA KENYA NI MWENDO WA KUTEMBEZA MJEREDI KWENDA MBELE...SIJUI SHERIA HIYO IKIJA BONGO HAPA ITAKUWAJE.

source Radio Uhuru, Habari za siku nzima, 30/04/2014. sa 5.00 usiku


NAWASILISHA.
 
Ni miongoni mwa sheria za kipuuzi tu.
 
Ujinga huu hautasaidia kitu kwani kuchepuka watu hawataacha na ndiyo kwanza itaongeza usaliti wa ndoa. Maneti aliimbaga kuwa penzi haligawanyiki.
 
Tunajua bhana,tuliangalia kwenye niuzi,lete thread yenye akili...loading error...
 
Hakika idadi ya wanawake ni kubwa sana....ili kuwaacomodate wote yatupasa kuoa zaidi ya mmoja.......
 
Atie Sana Hz Saini, Asisahau Kutia Saini Na Maambukizi Ya Ukimwi, Ongezeko La Watoto Mitaani, Familia Kuvunjika Pale Mke Mkubwa Atakapochujuka Na Kuja Malaya Mpya Na Mwanaume Kumtelekeza Mke Aliyeanza Nae Maisha, Pia Saini Ya Kwenda Motoni Kwa Dhambi Hy Akumbuke Kuitia Saini. By The Way Hv Uhuru Ni Dini Gani? Nauliza tu.
 
Tusianze tu kuponda bila kutafakari kwa undani. Mimi sishangai, mbona waislam dini yao inawaruhusu kuoa wanawake chini ya wanne hatuhoji? Je tumejiuliza nini sababu ya kufikia uamuzi huo? Je nimichepuko imezidi? Je ni kwa sababu idadi kubwa ya wakenya ni wanawake? Au idadi kubwa ya waumini wa kenya ni wa kristo? Au kiwango cha kuzaliana kimepungua? Usikurupuke! Kenya wanasababu ya msingi kufikia uamuzi huo, nawapongeza
 
Back
Top Bottom