It's official: Sex can kill!

It's official: Sex can kill!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361
thumbnail.php


Sudden bursts of physical activity - such as having sex or jogging - significantly increase the risk of having a heart attack, a new study has found.


People are 2.7 times more likely to have a heart attack before or straight after sex

Researchers in the US say the chances of cardiac arrest during or immediately after such exertions are particularly high among people who do not get regular exercise.

It has long been known physical activity can cause heart problems, but the new study by Dr Issa Dahabreh of Tufts Medical Centre in Boston helps to quantify that risk.

My Take: wakuu adui yako mpe sex!!!
 
Ungeipeleka kuleeeeee! ingechangiwa openly! :focus:
Inawezekana, lakini mimi sitaki kuiamini coz watu wanachapa sana na Inadaiwa kuongeza/kuboresha afya so sio kila tafiti tuzifanyie kazi.
 
Kama ingekuwa kweli kila siku tungelikuwa tunaokata maiti mitaani, vyumbani, misituni, ngazini, bafuni, jikoni....
Kama mtu anachagua kifo, "my last wish" ningechagua kifo cha namna hii.
 
Kama ingekuwa kweli kila siku tungelikuwa tunaokata maiti mitaani, vyumbani, misituni, ngazini, bafuni, jikoni....
Kama mtu anachagua kifo, "my last wish" ningechagua kifo cha namna hii.
PORN STARS wangekuwa wa kwanza kufa
 
Wasomi wana shida kweli na tafiti zao, toka ulimwengu umeumbwa watu wananjunjana na waliokufa ni wangapi ukilinganisha na walioendelea kunjunja mpaka uzeeni?

Kifo kitakukuta kama una magonjwa mengine na ukachanganya na madawa ya kuongeza nguvu otherwise natural sex is the most healthy exercise people need to do for better state ot mind and body.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Tungekuwa tushakufa wengine mpaka tuna na nyundo theluthi ya karne na bado tunapiga mzigo. Ni kitu kizuri, kitamu acha nzi afie kidondani
 
Kwa wabongo bwana suala hili linaekea lina utata mtupu, au kwa maneno mengine
sex juu!, juu!, juu zaidi!!!!
 
Magonjwa hayo ya moyo ysnsyosababisha kifo hutokea muda gani? Wa ronance (foreplay), wakati wa kusuguana au wakati wa climax?
Hebu watafiti watujuze
 
inategema kama una magonjwa ya moyo nk wapo ndio wanaokufa wakifanya mapenzi mnajua hilo lakini ni wachache sana.wengne wanasema sex inaongeza maisha kwa kuuweka mwili fit,naona hii tafit imefanywa kwa wachache ila kwa upande wangu siku nikifanya najisikia fit na furaha siwezi huo utafiti
 
Back
Top Bottom