Cheki Soundscan, but here is where we have a fundamental difference. Album ya 2003 ya Ganstarr (Guru na Premier pamoja) "The Ownerz" ili dissapoint sana.Kwa sababu the realest hawatetereki na record company exec plans, wanakuwa real kwenye message, hawawezi kutafuta popularity kwa nyimbo kama "Lollipop" au "Magic Stick" wana represent hood.
Wanaopandisha sales za kina Weezy wala si watu wa hood, ni hawa watoto wa suburbs wa kizungu ambao Ice T aliwaimba katika "Home Invasion" kama ulisikiliza.Ukienda hood barbershop uulize watu wanaojua Hip Hop Weezy au 50 na Guru nani zaidi watakuambia "It ain't even a question"
Guru kajichokea zake US, sasa hivi kakimbilia Europe huko ambako naona mipango yake inaweza kukubalika na record execs wao.