Mwazange
JF-Expert Member
- Nov 16, 2007
- 1,056
- 82
Nina imani ni mojawapo ya Chicago politics ndio zilizomfanya mkulu Obama kwenda Copenhagen, amekwenda kimyakimya anyway alijua hana shot ya kupata. Wakuu wa nchi waliokwenda kufanya kweli ili miji yao ishinde wameshinda kweli.....Tony Blair na 2012, Vladmir Putin na 2014....na walitenga muda kweli kuonana uso kwa uso na wapiga kura wote wa kamati, lakini mtu mzima huyo kaenda kule for hours, alichofanya ni kuhutubia wajumbe "Kilekile kinachowaudhi dunia juu ya Amerika, mahubiri" halafu akatimka.....Anyway...sasa ngojea nifutefute gim vumbi nianze kuwork out ili TOC waniite....maana totoz huko balaa!!!