mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
sasa hiyo depression inatokana na niniMkuu nipo single tangu nizaliwe sijui mapenzi gani hayo unayozungumzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hiyo depression inatokana na niniMkuu nipo single tangu nizaliwe sijui mapenzi gani hayo unayozungumzia
me nimeshakuzoea rafiki yangu,,huyo Mshamba hachekwi nahisi ndo bado hajakusoma ila atakuelewa taratibu taratibuHiyo na wandikia watu, kila mtu anastyle yake kwani hamnizoei wadau Leejay49
Hata mimi nilidhani tayari anataka kujielekeza kibla, niliposoma hadi mwisho.... kumbe hna shida yetote zaidi ya Rap verses tu...😜Kwani shida nini kipenzi, sema tujue tunakusaidiaje😊, mshamba_hachekwi uje uongee na mdogo wako huku
tumzoee tu hivihivi akikua ataacha😊😎Hata mimi nilidhani tayari anataka kujielekeza kibla, niliposoma hadi mwisho.... kumbe hna shida yetote zaidi ya Rap verses tu...😜
Utajiri unapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii, kuwa na nidhamu ya kutumia, kuwa na maono yenye kutekelezeka, bahati, kuwa na jicho lenye kutambua fursa na kuzitumia, kumwomba Mungu n.kVipi anaweza nipea utajiri?