Matusipoa barmaid wa 40/40
Inatajwa na nani?Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.
Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.
Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.
Kweli kabisa maana wauza madawa ya kulevya na wauza papuchi wameweka makazi huko.Ila ubaya wa biashara wa Bar ni za Msimu tu halafu chalii kifo cha mende.Gemu linarudi tena Sinza na Kinondoni .Pia kumbuka Kinondoni imeanza kuwa kama Posta yaani smart Area Bar zitakazofunguliwa siku za karibuni zitakuwa za kisasa.Pia Tabata ni Mji wanaoishi Waajiriwa wengi ambao wapo karibu na muda wa kustafu hivyo tegemea kuiona Tabata baada ya miaka mitano kuwa Imepooza maana wala bata watakuwa wamestafu wote na wamebanwa na Kiharusi na BP.Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.
Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.
Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.
Kuna Haibari barWanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.
Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.
Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.
Na yeye mleta madaInatajwa na nani?
Kwamba wewe unauwezo wa kwenda samaki samaki ukaanza kunywa bandika bandua kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku? Au ndo wale bia moja unakunywa masaa 2-3 unajifanya unakodolea TV enhMachangu wa Tabata wachafu mkuu. Nakula zangu totoz huku samaki samaki masaki, Marios, flame, capetown fish market.
Machangu wa sinza na tabata hawana tofauti. Wachafu wachafu hivi na mitatoo kibao kama vibaka
Mambo yote BL PubHatimae na mimi nafurahi kwa kufanikisha ndoto zangu za kuja kuishi Tabata, ila kwa kifupi ni kwamba tatizo la watu wa Tabata ni moja bar mpya ikifunguliwa watu woye wanahama bar ya zamani kwa mfano kwetu pazuri palikua pananoga sana ilipokuja 40/40 watu wakahamia 40/40 ikaenda wee ilipokuja Great Park watu wakahamia Great Park kiasi kwamba hata siku ya jumatatu panajaa shamra shamra za kutosha sasa hivi kuna bar mpya ipo Kinyerezi waliokua wanajaa Great Park wote wamehamia hio bar mpya ya Kinyerezi..bila kusahau kabla ya ujio wa zote hizo bar zilizokua zikitamba ni Barakuda, kuna moja ile ilikua kwenye kona kabla hujafika kituo cha tabata shule na kuna ile ingine iliokua barabarani pale klipohengwa kituo cha Puma hahaha Tabata ni Sinza mpya ila bata zake ni za msimu...
EVILSPIRIT KWELI WEWE NI evilspiritAhsanteni mabaamedi kwa kutupa ushirikiano wenu tumejua wapi tuende kula bata
Hatimae na mimi nafurahi kwa kufanikisha ndoto zangu za kuja kuishi Tabata, ila kwa kifupi ni kwamba tatizo la watu wa Tabata ni moja bar mpya ikifunguliwa watu woye wanahama bar ya zamani kwa mfano kwetu pazuri palikua pananoga sana ilipokuja 40/40 watu wakahamia 40/40 ikaenda wee ilipokuja Great Park watu wakahamia Great Park kiasi kwamba hata siku ya jumatatu panajaa shamra shamra za kutosha sasa hivi kuna bar mpya ipo Kinyerezi waliokua wanajaa Great Park wote wamehamia hio bar mpya ya Kinyerezi..bila kusahau kabla ya ujio wa zote hizo bar zilizokua zikitamba ni Barakuda, kuna moja ile ilikua kwenye kona kabla hujafika kituo cha tabata shule na kuna ile ingine iliokua barabarani pale klipohengwa kituo cha Puma hahaha Tabata ni Sinza mpya ila bata zake ni za msimu...
Kwamba wewe unauwezo wa kwenda samaki samaki ukaanza kunywa bandika bandua kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku? Au ndo wale bia moja unakunywa masaa 2-3 unajifanya unakodolea TV enh
mimi nikiona mwanamke ana tattoo akili moja kwa moja inanambia analiwa mbolea.Machangu wa Tabata wachafu mkuu. Nakula zangu totoz huku samaki samaki masaki, Marios, flame, capetown fish market.
Machangu wa sinza na tabata hawana tofauti. Wachafu wachafu hivi na mitatoo kibao kama vibaka