Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujenge babeBaby, unapenda tukale bata za Tabata au tujibane nikujengee kwanza?
Ndio tunaenda kunywa divaiHahaha nilikuwa na mpango kujenga kanisa Tabata, sasa mnafanya nifikirie upya.
Au hao hao watu wakitoka bar ndio huwa wanajaza makanisa?!
Unaowaona huku ndio wanaoonekana kule!Hahaha nilikuwa na mpango kujenga kanisa Tabata, sasa mnafanya nifikirie upya.
Au hao hao watu wakitoka bar ndio huwa wanajaza makanisa?!
Haaa haaaaa aisee nimecheka.Kwamba wewe unauwezo wa kwenda samaki samaki ukaanza kunywa bandika bandua kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku? Au ndo wale bia moja unakunywa masaa 2-3 unajifanya unakodolea TV enh
Jamaa hajui kama anawajengea mashahidi wa Yehova.Wewe unaongelea kujenga wakati mashahidi wa Yehova wanasubiri mfe waje wamiliki hizo nyumba zenu ktk ufalme ujao???
Khaaaa[emoji854]poa barmaid wa 40/40
Peleka neno kwenye misukosuko wewe nenda, wakikataa nawa mikono ushukuru.Hahaha nilikuwa na mpango kujenga kanisa Tabata, sasa mnafanya nifikirie upya.
Au hao hao watu wakitoka bar ndio huwa wanajaza makanisa?!
Hahaaaa we fala kweli...Wewe unaongelea kujenga wakati mashahidi wa Yehova wanasubiri mfe waje wamiliki hizo nyumba zenu ktk ufalme ujao???
Hakuna kingine,bata ni pombe!Starehe za Dar ni kwenda baa tu???
[emoji23][emoji23][emoji23]Usifananishe bata na mambo ya kiduwanzi, ulishawahi kulala nje kwa kukosa nyumba...!![emoji848]
Acha kuzitaja faradhi za faragha ndg. wengine bila mtoto wa kike kujamba mtungi haupandi.mimi nikiona mwanamke ana tattoo akili moja kwa moja inanambia analiwa mbolea.
Hatimae na mimi nafurahi kwa kufanikisha ndoto zangu za kuja kuishi Tabata, ila kwa kifupi ni kwamba tatizo la watu wa Tabata ni moja bar mpya ikifunguliwa watu woye wanahama bar ya zamani kwa mfano kwetu pazuri palikua pananoga sana ilipokuja 40/40 watu wakahamia 40/40 ikaenda wee ilipokuja Great Park watu wakahamia Great Park kiasi kwamba hata siku ya jumatatu panajaa shamra shamra za kutosha sasa hivi kuna bar mpya ipo Kinyerezi waliokua wanajaa Great Park wote wamehamia hio bar mpya ya Kinyerezi..bila kusahau kabla ya ujio wa zote hizo bar zilizokua zikitamba ni Barakuda, kuna moja ile ilikua kwenye kona kabla hujafika kituo cha tabata shule na kuna ile ingine iliokua barabarani pale klipohengwa kituo cha Puma hahaha Tabata ni Sinza mpya ila bata zake ni za msimu...
Hahaha siku hizi ni sifa kujaza bar kuliko kujaza msikiti au kanisa.Peleka neno kwenye misukosuko wewe nenda, wakikataa nawa mikono ushukuru.
Hahaha kumbe ni walewale nilidhani ni tofauti.Unaowaona huku ndio wanaoonekana kule!
Hahaha Divai chupa ngapi?!Ndio tunaenda kunywa divai
Agwisa ipo wapiHahaha mambo yapo huku kinyerezi ya maramba mawili, asubuhi tunaamkia hapo Soweto park unapata mchemsho swaaafi wa kuku ulimchagua bandani na baada ya mda tunaelekea hali ya hewa Angwisa village kuogelea na kuangalia view ya mji.
Vp upo tayari twende weekend hii?
Call me now 0713 924581