Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha anazuga kukodolea tv masaa yaendeKwamba wewe unauwezo wa kwenda samaki samaki ukaanza kunywa bandika bandua kuanzia saa 12 jioni hadi saa 6 usiku? Au ndo wale bia moja unakunywa masaa 2-3 unajifanya unakodolea TV enh
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Walevi wanajua kutunga misemo ya kufarijianaUsifananishe bata na mambo ya kiduwanzi, ulishawahi kulala nje kwa kukosa nyumba...!![emoji848]
Weeeeeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna bar mpya Tegeta inaitwa China ba kila jumamosi wanaleta artist mpya.
Last week alikuwepo Mario.. This week amerperfom baraka De Prince kiingilio beer mbili tu, malaya clean mbaaya. [emoji23][emoji23]
Hahaha basi nitafungua kanisa jirani na bar, tusaidie hawa wenzetu ingawa ndio walipa kodi wetu wakubwa.Hata wenye makanisa wanajaza kama kawaida
Hahaha upo sahihi kabisa. Hata ukitrace vizuri utaona the great aliibuka baada ya kwetu pazuri kuyumba. Ndio watu wakahama.Hatimae na mimi nafurahi kwa kufanikisha ndoto zangu za kuja kuishi Tabata, ila kwa kifupi ni kwamba tatizo la watu wa Tabata ni moja bar mpya ikifunguliwa watu woye wanahama bar ya zamani kwa mfano kwetu pazuri palikua pananoga sana ilipokuja 40/40 watu wakahamia 40/40 ikaenda wee ilipokuja Great Park watu wakahamia Great Park kiasi kwamba hata siku ya jumatatu panajaa shamra shamra za kutosha sasa hivi kuna bar mpya ipo Kinyerezi waliokua wanajaa Great Park wote wamehamia hio bar mpya ya Kinyerezi..bila kusahau kabla ya ujio wa zote hizo bar zilizokua zikitamba ni Barakuda, kuna moja ile ilikua kwenye kona kabla hujafika kituo cha tabata shule na kuna ile ingine iliokua barabarani pale klipohengwa kituo cha Puma hahaha Tabata ni Sinza mpya ila bata zake ni za msimu...
Hahahaha hilo chimbo tamu saana. Jamaa alifikiria mbali saana. Hali ya hewa safi plus view ya mji.Hahaha mambo yapo huku kinyerezi ya maramba mawili, asubuhi tunaamkia hapo Soweto park unapata mchemsho swaaafi wa kuku ulimchagua bandani na baada ya mda tunaelekea hali ya hewa Angwisa village kuogelea na kuangalia view ya mji.
Vp upo tayari twende weekend hii?
Call me now 0713 924581
Kuna tofaut gani ya radha ya bia unayouziwa 2000 na unayouziwa 5000??HAKUNA WATU WASHAMBA WA STAREHE KAMA WATU WANAOISHI TABATA NA VITONGOZI VYAKE
YAANI UWEPO WA BAR YA 40/40 , THE GREAT, KWETU PAZULI, KITAMBAA CHEUPE,BL SIJUI TOROKA UJE WANAONA WENYEWE NDO SEHEMU ZA KULA STAREHE HIZO AMBAPO BIA INAUZWA 2000
ALAFU MALAYA WAO HUKO WANAUZIWA 5000 SHOW TIME WENYEWE WANAJIONA WAKO JUU
KUWAZIDI WATOTO WA KINONDONI
NA SINZAA
IVI STAREHE ZA KINONDONI NA SINZA WATU WANAZIJUA AU WANAZISIKIA
Kama unatokea kinyerez ukifika kifuru pale kuna njia mkono wa kushoto unaifata ya vumbi...Agwisa ipo wapi
OkeyKama unatokea kinyerez ukifika kifuru pale kuna njia mkono wa kushoto unaifata ya vumbi...
Unaifata ukifika mbele kuna junction you just keep left ukiifata ya kulia unapotea unaenda kutokea kwenye SGR station pugu. Kuna mabango yanaelekeza.
Kitimoto bila kilaji kikali ni sawa na kuvaa suti nzuriii alafu chini ukagonga kanda mbili za kuingilia chooni
Kuna kiwanja kipya kimefunguliwa leo kipo katikati ya tanesco na barakuda...
Just jina tuu.Hivi kitambaa cheupe ni jina tu
Au kitambaa cheupe wanakuwepo kweli?
Just jina tuu.
Leo jion karibu turefrsh