It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

KIWANJA CHA BATA/BAR/CLUB BILA TOTOZ MFANO WA POSHQUEEN , WENYE MISAMBWADA , MATAKO MAKUBWA , HIPSI ,CHUCHU SAA 6 , NI KAMA KANISANI TU , OYAAA MTOA MADA WEKA PICHA ZA TOTOZ MAENEO HAYO ... DAH ASEEE NAANDIKA POST HII HUKU NIMEDINDISHA .
Blaza umefeli kusema ni kama kanisani tu maana kanisani misambwanda ni ya kutosha ilibidi useme ni kama msikitini maana kule wanavaa majuba tupu no kuona misambwanda
 
Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.

Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.

Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.

Mkuu Wakusoma, hivi ulishaondoka Kigoma?
Sikuonagi tena hapa mitaa ya Mwanga kwa mchaga.
 
Karibu matako bar A town Mkuu, hutaujutia kamshahara kako kakikatika.
 
Unafeli sana mkuu...bila shaka ni wakuja hapa mjini
Ni kweli mkuu. Hapa wenyeji wa huu mji ni wazaramo na wandengereko. Wengine wote tumekuja tu hapa mjini ila nina imani nilikutangulia kuja mjini.
 
Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.

Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.

Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.
40/40 eneo dogo!

40/40 mabaunsa wenzi.wanasubir wateja walewe wajipooze madogori(simu) na mitonyo!

40/40 malaya wachafu.
 
Ni kweli mkuu. Hapa wenyeji wa huu mji ni wazaramo na wandengereko. Wengine wote tumekuja tu hapa mjini ila nina imani nilikutangulia kuja mjini.
Wenyeji wenyewe wako wapi si wapo chanika...hao wazaramo na wandengereko..ulikuja mjini mwaka gani mkuu?
 
Back
Top Bottom