It’s time to do a serious reality check on the Wuhan Coronavirus pandemic

It’s time to do a serious reality check on the Wuhan Coronavirus pandemic

Kweli ni nini na unajuaje hii ni kweli na hii si kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga najua hili limekugusa,ila with all due respect,naomba niseme kwamba maswali yako ni unrealistic and crooked.Ni maswali yenye evil motives.

Anyway kujua hii taarifa ni ya kweli au sio kweli nitaangalia mambo yafuatayo:

1.Intergrity: Does the source of information has unquestionable intergrity.

2.Consistence: Is the source of information always consistent in what it says and does?

3.Information: Does the information provided conform to acceptable scientific,cultural,social norms in terms of reality,criteria and principles?
 
Sio yote,ila mengine kama hili ni top secret.Hili ni jambo baya sana,kwa hiyo hakuna nchi au mtu ambaye angependa kuhusishwa nalo.Hata hivyo the Deeper State a.k.a New World Order ina uovu mwingi wa kutisha hata zaidi ya huu wa 2019-nCOV.
Thibitisha madai yako, umetoa madai yasiyo na uthibitisho.
 
Kiranga najua hili limekugusa,ila with all due respect,naomba niseme kwamba maswali yako ni unrealistic and crooked.Ni maswali yenye evil motives.
Hujajibu swali.

Kweli ni nini na unajuaje hii ni kweli na hii si kweli?
 
Hujajibu swali.

Kweli ni nini na unajuaje hii ni kweli na hii si kweli?
Kiranga najua hili jambo limekugusa sana,ila with all due respect,naomba niseme kwa mara nyingine tena kwamba maswali yako ni unrealistic and crooked.Ni maswali yenye evil motives.

Anyway tuachane na hayo.Kujua hii taarifa ni ya kweli au sio ya kweli nitaangalia vigezo vifuatayo:

1.Intergrity: Does the source of information has unquestionable intergrity? Kama hiyo source haina intergrity,than the information will be likely fake.

2.Consistence: Is the source of information always consistent in what it says and does?If the source of information is not consistent with what it says and does,then the information it provides will likely be fake.

3.Information: Does the information provided conform to acceptable scientific,cultural,social norms in terms of reality,criteria and principles? If it doesn't, than it will likely be fake news.
 
Fact haina "could have".

Ukishaweka "could have" hiyo ni speculation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo hujamwelewa vizuri. Amesema hivi....... "could only have been launched" yaani hapa ambacho siyo fact ni kile kitendo cha ku-launch Corona Virus, na fact anayosema hapa ni kwamba Corona Virus ni bio-weapon
 
Aisee Kiranga is an extremely difficult person.Maswali yake ni tata sana na yako unrealistic and very crooked.Achana naye,mtakesha.
 
Wewe ndiyo hujamwelewa vizuri. Amesema hivi....... "could only have been launched" yaani hapa ambacho siyo fact ni kile kitendo cha ku-launch Corona Virus, na fact anayosema hapa ni kwamba Corona Virus ni bio-weapon
How does he know that this "could only have been launched..."?

That is speculation, not fact.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How does he know that this "could only have been launched..."?

That is speculation, not fact.

Sent using Jamii Forums mobile app
You are right but the fact he was on about was on the issue of Corona Virus, and not on the launching a bio weapon. If I'm not mistaken, he is neither of a different opinion from you
 
You are right but the fact he was on about was on the issue of Corona Virus, and not on the launching a bio weapon. If I'm not mistaken, he is neither of a different opinion from you
Do you know that opinion is not fact?

What fact was he on about? And what does "on about" mean?
 
Back
Top Bottom