Kiranga najua hili limekugusa,ila with all due respect,naomba niseme kwamba maswali yako ni unrealistic and crooked.Ni maswali yenye evil motives.
Thibitisha madai yako, umetoa madai yasiyo na uthibitisho.Sio yote,ila mengine kama hili ni top secret.Hili ni jambo baya sana,kwa hiyo hakuna nchi au mtu ambaye angependa kuhusishwa nalo.Hata hivyo the Deeper State a.k.a New World Order ina uovu mwingi wa kutisha hata zaidi ya huu wa 2019-nCOV.
Hujajibu swali.Kiranga najua hili limekugusa,ila with all due respect,naomba niseme kwamba maswali yako ni unrealistic and crooked.Ni maswali yenye evil motives.
Kiranga najua hili jambo limekugusa sana,ila with all due respect,naomba niseme kwa mara nyingine tena kwamba maswali yako ni unrealistic and crooked.Ni maswali yenye evil motives.Hujajibu swali.
Kweli ni nini na unajuaje hii ni kweli na hii si kweli?
Wewe ndiyo hujamwelewa vizuri. Amesema hivi....... "could only have been launched" yaani hapa ambacho siyo fact ni kile kitendo cha ku-launch Corona Virus, na fact anayosema hapa ni kwamba Corona Virus ni bio-weaponFact haina "could have".
Ukishaweka "could have" hiyo ni speculation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Kiranga is an extremely difficult person.Maswali yake ni tata sana na yako unrealistic and very crooked.Achana naye,mtakesha.Wewe ndiyo hujamwelewa vizuri. Amesema hivi....... "could only have been launched" yaani hapa ambacho siyo fact ni kile kitendo cha ku-launch Corona Virus, na fact anayosema hapa ni kwamba Corona Virus ni bio-weapon
Ni kawaida, kila mmoja humu anajaribu kutetea hoja zakeAisee Kiranga is an extremely difficult person.Maswali yake ni tata sana na yako unrealistic and very crooked.Achana naye,mtakesha.
How does he know that this "could only have been launched..."?Wewe ndiyo hujamwelewa vizuri. Amesema hivi....... "could only have been launched" yaani hapa ambacho siyo fact ni kile kitendo cha ku-launch Corona Virus, na fact anayosema hapa ni kwamba Corona Virus ni bio-weapon
You are right but the fact he was on about was on the issue of Corona Virus, and not on the launching a bio weapon. If I'm not mistaken, he is neither of a different opinion from youHow does he know that this "could only have been launched..."?
That is speculation, not fact.
Sent using Jamii Forums mobile app
Do you know that opinion is not fact?You are right but the fact he was on about was on the issue of Corona Virus, and not on the launching a bio weapon. If I'm not mistaken, he is neither of a different opinion from you