Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Amini kwamba.ππππ
Ni nini lakini, una hakika nikikuletea kimasai hapa utatoboa.?
ππππHappy belated birthday beautiful Carleen , i remember last month i promised to sing a song for you sijui hata imekuaje nimesahau hii siku muhimu π€ anyways it's better late than never
"Happy birthday to youπ Γ2
May all the best things,blessings come your way π"
Hope you Enjoyed your dayπ
ππ thank you birthday girl, next year Mungu akipenda ntakua wa kwanza kuanzisha uzi wa hii siku muhimu sitaki capitalpool anazidi kete.π Have a blessed sunday dearππππ
financial services bwaana, you're one of the kind, thank you so much bbygirl, ndiyo, nili-enjoy sana hakika, unajua kale ka feeling ka mshangao, 'heeh..! kumbe kuna watu wananijali japo na akili zangu mbovu hivi.!?'
Shukrani sana kwako pia mrembo wangu..!!π₯°π₯°
π π π πππ thank you birthday girl, next year Mungu akipenda ntakua wa kwanza kuanzisha uzi wa hii siku muhimu sitaki capitalpool anazidi kete.π Have a blessed sunday dear
Aisee amejipanga ila hata rushwa ntampa ili aniachie kidogo hako na nafasi na mimiπ , ntakubribe mkuu capitalpool πββοΈπ π π π
tuombe uzima my dear, japo sijui kama utamshinda capitalpool maana kashasema 'ana look forward to spend every b'day with me', utamuwahi kweli..??
Hahaha, FS bwaaana, nakusubiria kwa hamu nione utakavyotimiza hilo hujui tu, huo msalaba nakuachia mwenyewe uubebe mpaka Golgotha,Aisee amejipanga ila hata rushwa ntampa ili aniachie kidogo hako na nafasi na mimiπ , ntakubribe mkuu capitalpool πββοΈ
Thank you,it was nice too, huu msalaba naumudu kabisa huuπHahaha, FS bwaaana, nakusubiria kwa hamu nione utakavyotimiza hilo hujui tu, huo msalaba nakuachia mwenyewe uubebe mpaka Golgotha,
Blessed Sunday Lovie, it was so nice having you here.!! β€οΈ
Wanaume wanamapini sana ππHahaa,
Wanaimbishwa tu mama angu, kuna wanaume wana madini jamani.! Unajikuta tu usha-fall in love,
Early 30's..? you can't be serious bhaana.! Hili siwezi liamini kamwe, wewe tubaki tu hapa kwenye 20's akii..!
Enwei, Hongera sana kwa kuwa charming mumie..!!
Sweetheart financial servicesππ thank you birthday girl, next year Mungu akipenda ntakua wa kwanza kuanzisha uzi wa hii siku muhimu sitaki capitalpool anazidi kete.π Have a blessed sunday dear
Ooh it's a day again, kweli time flies, happy birthday beautiful Carleen age with grace dearππΎSweetheart financial services
Napita tu..!ππ
Happy birthday dearest Carleen [emoji3059]Each year your birthday reminds me,
That I really want to say,
View attachment 1751743
Iβm very glad that i have known you ..
I look forward to spend every birthday with you,
Because you are a good thing happening in my life.
Happy B'daY Carleen .
I hope you have enjoyed your day, happy birthday once again ......π₯°thank you sweetheart..!
you're adored here real..!
saaana.!I hope you have enjoyed your day, happy birthday once again ......π₯°
you're admired here Christian...!πHappy B.daY Sweetheart!