Unakuta jitu zima limewasha Laptop na WIFI liko Bar toka saa tatu asubuhi wakati wa supu hadi saa nne tano usiku .
Umeambiwa ni kufanya kazi toka nyumbani na si kufanya kazi toka Bar -- utawaambuliza wanao Corona wewe Mzee - Tulia nyumbani kwako ebo.