Its working from home, not working from Bar

Its working from home, not working from Bar

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Unakuta jitu zima limewasha Laptop na WIFI liko Bar toka saa tatu asubuhi wakati wa supu hadi saa nne tano usiku .

Umeambiwa ni kufanya kazi toka nyumbani na si kufanya kazi toka Bar -- utawaambuliza wanao Corona wewe Mzee - Tulia nyumbani kwako ebo.
 
Nyumba nyingi za Kibongo hazina mazingira rafiki ya kufanyia kazi.. Mie mwenyewe najipanga kwenda UD kufanyia kazi zangu.
 
Back
Top Bottom