Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Ndugu zanguni
Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi
Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji kutuma maombi wala elimu ni kuitumia mitandao ya kijamii kama ajira
Mimi nadhani wengi mnanifahamu humu . Mimi mpaka hapa nilipo nimeinuka kwa kutumia mitandao ya kijamii
Sasa wewe dogo GEN Z endelea kukesha mitandaoni kutukana watu wakati wenzako ni ajira
KAZI NI KIPIMO CHA UTU
KC TEAM
WE ARE PROOOUD
NB; Nimewamiss sana Nyumbu....