Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Umeanza vizuri lakini umemaliza vibaya sana, huwezi kutafuta ugomvi na watu wa jf halafu ukabaki salama, yaani kuacha Ulanzi na kuanza kunywa bia tayari ushaanza dharau!Ndugu zanguni
Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi
Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji kutuma maombi wala elimu ni kuitumia mitandao ya kijamii kama ajira
Mimi nadhani wengi mnanifahamu humu . Mimi mpaka hapa nilipo nimeinuka kwa kutumia mitandao ya kijamii
Sasa wewe dogo GEN Z endelea kukesha mitandaoni kutukana watu wakati wenzako ni ajira
KAZI NI KIPIMO CHA UTU
KC TEAM
WE ARE PROOOUD
NB; Nimewamiss sana Nyumbu....
People with low IQ won't understand this wataona fursa za mtandaoni ni utapeli due to their limited thinking capacityNdugu zanguni
Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi
Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji kutuma maombi wala elimu ni kuitumia mitandao ya kijamii kama ajira
Mimi nadhani wengi mnanifahamu humu . Mimi mpaka hapa nilipo nimeinuka kwa kutumia mitandao ya kijamii
Sasa wewe dogo GEN Z endelea kukesha mitandaoni kutukana watu wakati wenzako ni ajira
KAZI NI KIPIMO CHA UTU
KC TEAM
WE ARE PROOOUD
NB; Nimewamiss sana Nyumbu....
Nice broFanyeni YouTube. Ingawa inahitaji uvumilivu na uwe consistent. It took me 2 year to achieve this monthly
View attachment 3262925
View attachment 3262927