Jovegg Member Joined Nov 17, 2011 Posts 64 Reaction score 8 Oct 30, 2013 #1 Katiba mpya yafaa kuwa ndio dereva wa maisha yetu watanzania kufikia malengo yetu ya kimaisha. Isitoe mwanya kwa wanasiasa kuwa na nguvu.
Katiba mpya yafaa kuwa ndio dereva wa maisha yetu watanzania kufikia malengo yetu ya kimaisha. Isitoe mwanya kwa wanasiasa kuwa na nguvu.
House of Commons JF-Expert Member Joined Oct 1, 2013 Posts 2,179 Reaction score 2,177 Oct 30, 2013 #2 toa maelezo, la sivo mi napita