Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Leo kwenye taarifa ya habari mmeonesha mkutano wa Chadema kwa muda usiozidi dakika moja! Mlitumia zaidi ya dakika tano kwa kuonesha mikakati ya Polepole na kumsaidia kuweka picha za mikutano iliyopita hapo yeye si mgombea mkiwaacha wapinzani waliofanya mikutano leo! Pia mmeitengenezea baraza la wazee wa CCM taarifa kwenye habari za biashara kwa kigezo cha biashara wakati hakukua na biashara yoyote iliyofanyika!
Akili yako imeganda kwenye Chadema tu, sijui tutajadiliana nini wakati bandiko linaelezea vyama vyote vya siasa vinavyofanya mikutano.Hivi huwa mkisema uhuru haki na maendeleo huwa mna maanisha nini ikiwa amuwezi kuvumilia wengine? Hivi mbona ninyi ni maditeta sana?
VYOMBO VYA HABARI TZ VIMEVUNJWA UTI WA MGONGOLeo kwenye taarifa ya habari mmeonesha mkutano wa Chadema kwa muda usiozidi dakika moja! Mlitumia zaidi ya dakika tano kwa kuonesha mikakati ya Polepole na kumsaidia kuweka picha za mikutano iliyopita hapo yeye si mgombea mkiwaacha wapinzani waliofanya mikutano leo! Pia mmeitengenezea baraza la wazee wa CCM taarifa kwenye habari za biashara kwa kigezo cha biashara wakati hakukua na biashara yoyote iliyofanyika!
Hicho kipengele ☝️ sina mbavu aseee......
Pia mmeitengenezea baraza la wazee wa CCM taarifa kwenye habari za biashara kwa kigezo cha biashara wakati hakukua na biashara yoyote iliyofanyika!
Dawa hapa na nyie anzisheni ufipa tv au tanzania daima tv ili mpunguze kulalamika ruzuku si mnapataKhe, ina maana nao wameanza mchezo wa kihuni kama TBC?
Tupo kwenye siku mbaya sana nchi hii tufanye kweli tuondokane na huyu jamaa.Hiyo inaitwa mtumikie Kafir upate mradi wako.
Ma-ccm Mungu Anawaona Kutuambia Kuwa Mgombea Wenu Ni Mpole na Msikivu Na Mnyenyekevu. Mmetukosea Sana Sisi WananChi Hasa Wabukoba na Mtwara.ITV hamuipendi, TBC mnaponda sijui mnataka nini. Tafuteni akina Spencer Lamek wawatangazie mafuriko feki mfurahi
Anzisheni tv yenu,kwani unawalipa wewe mishahara?Leo kwenye taarifa ya habari mmeonesha mkutano wa CHADEMA kwa muda usiozidi dakika moja! Mlitumia zaidi ya dakika tano kwa kuonesha mikakati ya Polepole na kumsaidia kuweka picha za mikutano iliyopita hapo yeye si mgombea mkiwaacha wapinzani waliofanya mikutano leo!
Pia mmeitengenezea baraza la wazee wa CCM taarifa kwenye habari za biashara kwa kigezo cha biashara wakati hakukua na biashara yoyote iliyofanyika!
Ni bora ukasubiri maana yake kuliko kulizimisha hiyo yakwako.Hivi huwa mkisema uhuru haki na maendeleo huwa mna maanisha nini ikiwa amuwezi kuvumilia wengine? Hivi mbona ninyi ni maditeta sana?
Leo kwenye taarifa ya habari mmeonesha mkutano wa CHADEMA kwa muda usiozidi dakika moja! Mlitumia zaidi ya dakika tano kwa kuonesha mikakati ya Polepole na kumsaidia kuweka picha za mikutano iliyopita hapo yeye si mgombea mkiwaacha wapinzani waliofanya mikutano leo!
Pia mmeitengenezea baraza la wazee wa CCM taarifa kwenye habari za biashara kwa kigezo cha biashara wakati hakukua na biashara yoyote iliyofanyika!