Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #21
Na wewe akili yako imeganda kwenye Chadema! Tunataka tuzisikie kampeni za vyama vyote ili tuweze kuona nani atatufaa. Huu si ushabiki wa Simba na Yanga, hata ni maamuzi ya jinsi tunavyotaka tuishi vipi baada ya uchaguzi, huu upuuzi wa kudhani kila anayeongea ni mfuasi wa Chadema ni mgando wa ubongo unaodababisha taifa letu kulegalega kwenye maendeleo ya wananchi na tunabaki kujivunia kuvaa suti za vipande vitatu na tai tukidhani ndiyo maendeleo!Tatizo Chadema mnatumia asilimia 95% ya mikutano yetu kutoa lugha za fedheha, kuhamasisha vurugu, kutoa vitisho na kuwananga vyombo vya habari. Kwa maana hiyo vyombo hivi vya habari vinakosa mtiririko mnzuri wa kuripoti habari zenu kwa kufuata sheria na maadili. Badilikeni aiseee