Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
-
- #21
Na wewe akili yako imeganda kwenye Chadema! Tunataka tuzisikie kampeni za vyama vyote ili tuweze kuona nani atatufaa. Huu si ushabiki wa Simba na Yanga, hata ni maamuzi ya jinsi tunavyotaka tuishi vipi baada ya uchaguzi, huu upuuzi wa kudhani kila anayeongea ni mfuasi wa Chadema ni mgando wa ubongo unaodababisha taifa letu kulegalega kwenye maendeleo ya wananchi na tunabaki kujivunia kuvaa suti za vipande vitatu na tai tukidhani ndiyo maendeleo!Tatizo Chadema mnatumia asilimia 95% ya mikutano yetu kutoa lugha za fedheha, kuhamasisha vurugu, kutoa vitisho na kuwananga vyombo vya habari. Kwa maana hiyo vyombo hivi vya habari vinakosa mtiririko mnzuri wa kuripoti habari zenu kwa kufuata sheria na maadili. Badilikeni aiseee
Zitatangazia kutokea nchi gani? Au zitakuwa na serikali zake! Fikiri kabla ya kuandika kwani nazo zitakumbana na vikwazo.Dawa hapa na nyie anzisheni ufipa tv au tanzania daima tv ili mpunguze kulalamika ruzuku si mnapata
Kwani vyama vinginevyo havihusiki na uchaguzi! Vitachaguliwaje kama havisikiki, kumbuka uchaguzi huu ni zaidi ya CCM na Chadema.Wasitangaze kabisa habari za Chadema , waendelee na kijani kibichi .
Kama clouds ilifungiwa tu wka kutaja idadi ya wabunge waliopitwa bila kupingwa ambayo pia alikuwa kaitaja mwenyekit wa tume, wakaifungia kwa kudai kuwa hiyo ni kazi ya tume wakati nao walikuwa wanamnukuu mwenyekiti unategemea nini?Awamu hii unafiki ndiyo umetamalaki. Vyombo vya habari karibia vyote vimeamua kuweka weledi wa kazi zao pembeni, na kuamua kuisujudia ccm na mungu mtu wao.