TV station kubwa za Tanzania yaani ITV, AZAM, TBC, STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana. Nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanaojitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa, lakini mikutano ya CHADEMA inayoungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani wala hata hamuioneshi.
Ina maana na nyie mnahujumu upinzani?
Pia soma Pre GE2025 - Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike
====
Ina maana na nyie mnahujumu upinzani?
Pia soma Pre GE2025 - Ogopa Teknolojia na Mungu! Sasa ni rasmi G55 wametumwa kuifumuafumua CHADEMA mpaka isambaratike
====