Wajinga sana hao, haturudi nyumaTV station kubwa za TANZANIA yaani ITV,AZAM,TBC,STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanao jitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa , lakini mikutano ya CHADEMA inayo ungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani wala hata hamuioneshi ina maana na nyie mnahujumu upinzani?
Wanaogopa kupotezwa au kupigwa kisha wanaambiwa walikua wanatoka kwenye kinywaji yaan Masanga wakielekea ChooniTV station kubwa za TANZANIA yaani ITV,AZAM,TBC,STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanao jitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa , lakini mikutano ya CHADEMA inayo ungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani wala hata hamuioneshi ina maana na nyie mnahujumu upinzani?
Hizi local wanazingua sanaSiku hizi tunaangalia vituo vya nchi jirani au BBC.
Wapo kazini haoTV station kubwa za TANZANIA yaani ITV,AZAM,TBC,STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanao jitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa , lakini mikutano ya CHADEMA inayo ungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani wala hata hamuioneshi ina maana na nyie mnahujumu upinzani?
Wanaogopa wasije kutekwa na kufungiwaTV station kubwa za TANZANIA yaani ITV,AZAM,TBC,STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanao jitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa , lakini mikutano ya CHADEMA inayo ungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani wala hata hamuioneshi ina maana na nyie mnahujumu upinzani?
Vyombo vya habari haviendeshwi bure vina gharama za uendeshajiWanaogopa wasije kutekwa na kuffungiwa