ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haiwezekani kabisa nyie ITV Daima mkatutesa sisi Watazamaji wenu kila uchao hasa kila muda wa Taarifa ya Habari yenu ya Saa mbili ( 2 ) usiku inapofika tu wakisoma hawa Watangazaji wawili Jackline Silemu na Julieth Robert huwa tunashindwa kabisa kufanya Kazi zingine za Kujenga nchi na kuwatafutia TRA na JPM Kodi yao.

Tangia nizaliwe na nimetizama taarifa za Habari mbalimbali za Tv zile kubwa kabisa za barani Afrika na Ulaya lakini sijawahi ' Kukumbana ' na Watangazaji wazuri, warembo na wenye mvuto kama hawa mlio nao nyie akina Jackline Silemu na Julieth Robert.

Wakisoma tu hawa Taarifa zenu za Habari kutokana na ' mvuto ' wao sisi Watazamaji huku huwa tunateseka kwa kiasi kikubwa mno.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambayo hutupata na kutusababishia sana usumbufu pale tu Mtangazaji Jackline Silemu na Julieth Robert wakiwa wanasoma taarifa ya Habari ya ITV kila ifikapo Saa mbili ( 2 ) usiku kutokana na sisi kuwaangalia Wao kutokana na ' mvuto ' wao......

  1. Kusahau kunywa Dawa za Malaria
  2. Kusahau Kula Chakula
  3. Kusahau kama tuna Wapenzi wetu
  4. Kusahau kama kuna dhambi duniani
  5. Kusahau kama kuna Kufa
  6. Kusahau kama TRA wanatudai Kodi zao
  7. Kusahau Kusali
Tafadhalini Uongozi wa ITV Daima hebu tuombeni radhi sisi Watazamaji wenu kwani Watangazaji hao wawili tajwa hapo juu wana ' Urembo ' wa ' Kutukuka ' kama ule ambao alikuwa nao Mwanamke Mrembo kuliko wote huko Misri ' Cleopatra '.

Hongereni mno akina Jackline Silemu na mwenzako Julieth Robert kwani tunawapenda na tunawakubali sana. Kaeni mkijua kuwa nyie ni ' Warembo ' kuliko Watangazaji wengine wote waliopo katika Media zingine hapa duniani.

Akhsante ITV Daima na kwakweli kwa hawa ' Warembo ' wawili nimeamini kuwa nyie ni Super Brand na mnastahili. Nilikuwa sipendi kuangalia ITV ila tangia nianze kuwaona hawa Wadada wawili ' hakyanani ' ifikapo tu Saa mbili ( 2 ) Kamili huwa ' sibanduki ' ITV ili mradi ' niwakodolee ' tu kisha roho yangu ioge na itakase.

Nawasilisha.
 
We hujawai kuona wanawake wazuri,,me nna mtoto wa kinyarwanda, hao wanasubiri

Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.

Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.
 
Mkuu, hebu tupia picha zao, huenda ile siku nilijaza kikombe cha maziwa mpaka yakamwagika ni wao nilikuwa nawakodolea macho
 
Haiwezekani kabisa nyie ITV Daima mkatutesa sisi Watazamaji wenu kila uchao hasa kila muda wa Taarifa ya Habari yenu ya Saa mbili ( 2 ) usiku inapofika tu wakisoma hawa Watangazaji wawili Jackline Silemu na Julieth Robert huwa tunashindwa kabisa kufanya Kazi zingine za Kujenga nchi na kuwatafutia TRA na JPM Kodi yao.

Tangia nizaliwe na nimetizama taarifa za Habari mbalimbali za Tv zile kubwa kabisa za barani Afrika na Ulaya lakini sijawahi ' Kukumbana ' na Watangazaji wazuri, warembo na wenye mvuto kama hawa mlio nao nyie akina Jackline Silemu na Julieth Robert.

Wakisoma tu hawa Taarifa zenu za Habari kutokana na ' mvuto ' wao sisi Watazamaji huku huwa tunateseka kwa kiasi kikubwa mno.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambayo hutupata na kutusababishia sana usumbufu pale tu Mtangazaji Jackline Silemu na Julieth Robert wakiwa wanasoma taarifa ya Habari ya ITV kila ifikapo Saa mbili ( 2 ) usiku kutokana na sisi kuwaangalia Wao kutokana na ' mvuto ' wao......

  1. Kusahau kunywa Dawa za Malaria
  2. Kusahau Kula Chakula
  3. Kusahau kama tuna Wapenzi wetu
  4. Kusahau kama kuna dhambi duniani
  5. Kusahau kama kuna Kufa
  6. Kusahau kama TRA wanatudai Kodi zao
  7. Kusahau Kusali
Tafadhalini Uongozi wa ITV Daima hebu tuombeni radhi sisi Watazamaji wenu kwani Watangazaji hao wawili tajwa hapo juu wana ' Urembo ' wa ' Kutukuka ' kama ule ambao alikuwa nao Mwanamke Mrembo kuliko wote huko Misri ' Cleopatra '.

Hongereni mno akina Jackline Silemu na mwenzako Julieth Robert kwani tunawapenda na tunawakubali sana. Kaeni mkijua kuwa nyie ni ' Warembo ' kuliko Watangazaji wengine wote waliopo katika Media zingine hapa duniani.

Akhsante ITV Daima na kwakweli kwa hawa ' Warembo ' wawili nimeamini kuwa nyie ni Super Brand na mnastahili. Nilikuwa sipendi kuangalia ITV ila tangia nianze kuwaona hawa Wadada wawili ' hakyanani ' ifikapo tu Saa mbili ( 2 ) Kamili huwa ' sibanduki ' ITV ili mradi ' niwakodolee ' tu kisha roho yangu ioge na itakase.

Nawasilisha.
Si bure. Inabidi ukapimwe mkojo
 
Siku hizi taarifa ya habari wamezidisha matangazo na mbwembwe. Mimi huwa naangalia zile taarifa mbili za mwanzo tu baada ya hapo natupitilia mbali kabisa mambo ya habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan headline yako imenikimbiza nikadhani huko kwenu ITV inasuasua Duu.... ITV haijawai kumuacha mtu salama
 
Aaaaaaghhhhh....wapi Mkuu hakuna lolote. Hapana chezea Jackline Silemu na Julieth Robert na ukiona hadi GENTAMYCINE nasifia au nakubali kitu basi jua hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu kimepitishwa na kimebarikiwa. Huwa sipendagi ' vibovu vibovu ' Mimi Mkuu.

Akhsanteni sana ITV Daima kwani sasa mmemdaka GENTAMYCINE katika taarifa zenu za Habari za kila siku Saa mbili ( 2 ) Kamili usiku na mkiwaondoa tu hao nami naondoka nawaacha.
Pamoja na uzuri na sauti pia acha kabisa
 
mkuu ulikuja na Bahati Alex leo upo huku
Haiwezekani kabisa nyie ITV Daima mkatutesa sisi Watazamaji wenu kila uchao hasa kila muda wa Taarifa ya Habari yenu ya Saa mbili ( 2 ) usiku inapofika tu wakisoma hawa Watangazaji wawili Jackline Silemu na Julieth Robert huwa tunashindwa kabisa kufanya Kazi zingine za Kujenga nchi na kuwatafutia TRA na JPM Kodi yao.

Tangia nizaliwe na nimetizama taarifa za Habari mbalimbali za Tv zile kubwa kabisa za barani Afrika na Ulaya lakini sijawahi ' Kukumbana ' na Watangazaji wazuri, warembo na wenye mvuto kama hawa mlio nao nyie akina Jackline Silemu na Julieth Robert.

Wakisoma tu hawa Taarifa zenu za Habari kutokana na ' mvuto ' wao sisi Watazamaji huku huwa tunateseka kwa kiasi kikubwa mno.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambayo hutupata na kutusababishia sana usumbufu pale tu Mtangazaji Jackline Silemu na Julieth Robert wakiwa wanasoma taarifa ya Habari ya ITV kila ifikapo Saa mbili ( 2 ) usiku kutokana na sisi kuwaangalia Wao kutokana na ' mvuto ' wao......

  1. Kusahau kunywa Dawa za Malaria
  2. Kusahau Kula Chakula
  3. Kusahau kama tuna Wapenzi wetu
  4. Kusahau kama kuna dhambi duniani
  5. Kusahau kama kuna Kufa
  6. Kusahau kama TRA wanatudai Kodi zao
  7. Kusahau Kusali
Tafadhalini Uongozi wa ITV Daima hebu tuombeni radhi sisi Watazamaji wenu kwani Watangazaji hao wawili tajwa hapo juu wana ' Urembo ' wa ' Kutukuka ' kama ule ambao alikuwa nao Mwanamke Mrembo kuliko wote huko Misri ' Cleopatra '.

Hongereni mno akina Jackline Silemu na mwenzako Julieth Robert kwani tunawapenda na tunawakubali sana. Kaeni mkijua kuwa nyie ni ' Warembo ' kuliko Watangazaji wengine wote waliopo katika Media zingine hapa duniani.

Akhsante ITV Daima na kwakweli kwa hawa ' Warembo ' wawili nimeamini kuwa nyie ni Super Brand na mnastahili. Nilikuwa sipendi kuangalia ITV ila tangia nianze kuwaona hawa Wadada wawili ' hakyanani ' ifikapo tu Saa mbili ( 2 ) Kamili huwa ' sibanduki ' ITV ili mradi ' niwakodolee ' tu kisha roho yangu ioge na itakase.

Nawasilisha.
[/QUOTE
 
Back
Top Bottom