Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja hapo nimepiga sana akiwa chuoni...!
Wabillah Tawfiq,
Ndio hivyo mkuu maana nlkw napiga nyama to nyama...bahati nzuri Dali Kimoko hakuwa nayo.Kwahiyo kama na Yeye tokea akiwa huko Chuoni alikuwa ana ' Dally Kimoko ' si ina maana kwamba hata Wewe sasa ' unazikung'uta ' vizuri ' Nyuzi ' za hilo Gitaa?
Ndio hivyo mkuu maana nlkw napiga nyama to nyama...bahati nzuri Dali Kimoko hakuwa nayo.
Leo ningekuwa naserebuka tu.