ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

Utakuwa na mkojo wa UCHOCHEZI

Bwana ataongoza safari
 
Mmoja hapo nimepiga sana akiwa chuoni...!

Wabillah Tawfiq,

Kwahiyo kama na Yeye tokea akiwa huko Chuoni alikuwa ana ' Dally Kimoko ' si ina maana kwamba hata Wewe sasa ' unazikung'uta ' vizuri ' Nyuzi ' za hilo Gitaa?
 
Kwahiyo kama na Yeye tokea akiwa huko Chuoni alikuwa ana ' Dally Kimoko ' si ina maana kwamba hata Wewe sasa ' unazikung'uta ' vizuri ' Nyuzi ' za hilo Gitaa?
Ndio hivyo mkuu maana nlkw napiga nyama to nyama...bahati nzuri Dali Kimoko hakuwa nayo.

Leo ningekuwa naserebuka tu.
 
Ndio hivyo mkuu maana nlkw napiga nyama to nyama...bahati nzuri Dali Kimoko hakuwa nayo.

Leo ningekuwa naserebuka tu.

Bahati yako. Ungezipiga sana ' Nyuzi ' za Gitaa la ' Dally Kimoko '.
 
Jackline slem kafunga ndoa juzi juzi keshatwaliwa huyo. Labda Juliet ndio bado yuko sokoni.
 
Mtu unaanzaje kusema ~tuna~kuzungumzia hisia binafsi,... Upo na nani mkuu,.. Ficha upumbavu wako,
 
Aah jamani sisi wengeni hatuna hata kin'gamuzi hemu mkuu gentamycin fanya kutuma picha zao tuwaone hawa viumbe tuhakikishe ni wale waliotoroka paradise kweli au unahitaj ukapimwe mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…