ITV Dakika 45: Nimemsikiliza Hashimu Rungwe yupo vema zaidi ya Lissu na Mbowe

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Mzee amezungumzia kuhusu makodi Makubwa yanayowatesa Watanzania.

Uongo wa kikosi kazi cha Samia kubwa kimejaa wazee sana kama yeye hawana jipya walikuwa kwenye mfumo uliowatesa watanzania hivyo hawataweza kuwa msaada,atafute vijana na watu walio nje ya mfumo jinai.

Anasema tozo za Samia na maisha ya kifahari ya viongozi ndio yanayowatesa Watanzania.

Anayeona so called maridhiano kama sana tu maana baada ya uchaguzi mkuu matatizo yatabakia palepale

Vita ya Ukraine ni uongo wa dunia tu hasa serkali za kiswahili kuwadanganya wananchi ili wawabandikie kodi kubwa, hakuna uhusiano wa vita na bei ya mafuta na vyakula ni sera mbovu za bei na chakula.

Kiufupi mzee Hashimu amezungumza mambo ya msingi kuliko wapiga domo wa maridhiano.

USSR
 
Mbuzi wanaJiona Watakalo-Sema kwetu ht Kama bovu linatakiwa kuwa Sheria
 
Basi muite aje CCM.

Unajua vyema Lissu ni tishio kwa chama chenu sema unajitoa ufahamu tu.
 
Wewe unajulikana ni mnazi wa CCM, mmezoea bao la mkono , ila inaonekana President Samia hataki huo mchezo, jiandaeni kupigwa tuu
 
CCM ndio wanatawala kwa sasa siku wakiondoka nchi itayumba

USSR
 
Mzee amezungumzia kuhusu makodi Makubwa yanayowatesa Watanzania.

Uongo wa kikosi kazi cha Samia kubwa kimejaa wazee sana kama yeye hawana jipya walikuwa kwenye mfumo uliowatesa watanzania hivyo hawataweza kuwa msaada,atafute vijana na watu walio nje ya mfumo jinai.

Anasema tozo za Samia na maisha ya kifahari ya viongozi ndio yanayowatesa Watanzania.

Anayeona so called maridhiano kama sana tu maana baada ya uchaguzi mkuu matatizo yatabakia palepale

Vita ya Ukraine ni uongo wa dunia tu hasa serkali za kiswahili kuwadanganya wananchi ili wawabandikie kodi kubwa, hakuna uhusiano wa vita na bei ya mafuta na vyakula ni sera mbovu za bei na chakula.

Kiufupi mzee Hashimu amezungumza mambo ya msingi kuliko wapiga domo wa maridhiano.

USSR
Nani asiekujua humu kuwa wewe una chuki na mbowe na chadema yake
 
Hata mz

Hata mzee wa kuwatoa wahuni pangoni ulisema yuko vyema 🤔
 
FB_IMG_1677556854945.jpg
 
Mzee amezungumzia kuhusu makodi Makubwa yanayowatesa Watanzania.

Uongo wa kikosi kazi cha Samia kubwa kimejaa wazee sana kama yeye hawaMna jipya walikuwa kwenye mfumo uliowatesa watanzania hivyo hawataweza kuwa msaada,atafute vijana na watu walio nje ya mfumo jinai.

Anasema tozo za Samia na maisha ya kifahari ya viongozi ndio yanayowatesa Watanzania.

Anayeona so called maridhiano kama sana tu maana baada ya uchaguzi mkuu matatizo yatabakia palepale

Vita ya Ukraine ni uongo wa dunia tu hasa serkali za kiswahili kuwadanganya wananchi ili wawabandikie kodi kubwa, hakuna uhusiano wa vita na bei ya mafuta na vyakula ni sera mbovu za bei na chakula.

Kiufupi mzee Hashimu amezungumza mambo ya msingi kuliko wapiga domo wa maridhiano.

USSR
Msajilini kwenye ka kikundi kenu awasaidie kuandika sera ya ubwabwa kwa kila mtanzania - Twende na ubwabwa 2025.

ubwabwaaaaaa... 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom