Mzee amezungumzia kuhusu makodi Makubwa yanayowatesa Watanzania.
Uongo wa kikosi kazi cha Samia kubwa kimejaa wazee sana kama yeye hawana jipya walikuwa kwenye mfumo uliowatesa watanzania hivyo hawataweza kuwa msaada,atafute vijana na watu walio nje ya mfumo jinai.
Anasema tozo za Samia na maisha ya kifahari ya viongozi ndio yanayowatesa Watanzania.
Anayeona so called maridhiano kama sana tu maana baada ya uchaguzi mkuu matatizo yatabakia palepale
Vita ya Ukraine ni uongo wa dunia tu hasa serkali za kiswahili kuwadanganya wananchi ili wawabandikie kodi kubwa, hakuna uhusiano wa vita na bei ya mafuta na vyakula ni sera mbovu za bei na chakula.
Kiufupi mzee Hashimu amezungumza mambo ya msingi kuliko wapiga domo wa maridhiano.
USSR